Kauli CHAFU za walimu darasani

Hiyo ya pili ni kiboko
 
Mwalimu una niziba
Teacher :Chomoa ukimbie
Duuh teacher A-boy namkumbuka sn.
 
Umenikumbusha mwl wangu wa english....toka ! mkono kama shetani.
Lione!siku baba yako na mama yako walipokutana mbegu zilikuwa zimeoza.
Rubbish.. Uozo!
 
Kuna ticha ashawahi tuambia akili zetu ziko unyayoni aisee nlicheka sana japo kwa huzuni
 
Nakumbuka nikiwa advance...kuna ticha mmoja wa english,baada ya kuona wanafunzi hawana muamko na kusoma..kuna kauli hii alikuwa anapenda sna kuisema "some of you are already died, some of you are seriously injured"...nyooni
 
Madam Ansilla (akiingia darasani): "Good morning class."

Classroom: "Wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Good morning madam."
 
Madam Ansilla (akiingia darasani): "Good morning class."

Classroom: "Wagumu kuelewa, wepesi kusahau. Good morning madam."

I see umemuongopea, huenda hii slogan uliisikia kwenye maigizo.
"... wagumu kuelewa, wepesi kusahau; good morning madam"
teeeeheeeteeeseee!
 
I see umemuongopea, huenda hii slogan uliisikia kwenye maigizo.
"... wagumu kuelewa, wepesi kusahau; good morning madam"
teeeeheeeteeeseee!

Najua unanichokoza ili nikutajie shule niliyosoma....! Haya kawaulize waliosoma St. Mary Goreti Secondary - Moshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…