"Humu darasani kuna maboga ambayo yamebiringishwa na wazazi wao toka nyumbani, muda wa kutoka ukifika yanasubiria waalimu wayabingirishe tena kurudi nyumbani"...
"Humu darasani kuna maboga ambayo yamebiringishwa na wazazi wao toka nyumbani, muda wa kutoka ukifika yanasubiria waalimu wayabingirishe tena kurudi nyumbani"...
Kuna watu wamekuja hapa shule badala ya kusoma yanacheza kwao sasa anatoka hapa anapanda gari ,anakwenda mpaka anafika mwisho wa barabara ya magari,anachukua Pikipiki inafika sehemu Pikipiki haingii,inabidi achukue baiskel ,anakwenda inafika sehem ambayo haiwezi pita anashuka kufuata kinjia kwa miguu,hatimae kinjia kinapotea anapita vichakani mpaka anafika huko kwao R.I.P Mr. Rutakyamirwa(Rita)