Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

They have got Usalama wa Taifa, Polisi, Jeshi, Mahakama, KMKM, Mgambo and above all majority of wapigakura(as opposed to wananchi). How do you fight a group like that?
 
Hawa jamaa wa NDC wachunguzwe pia kwa kujiuzia nyumba za shirika kwa bei ndogo na kwa upendeleo. MD aliyepita afikishwe mahakamani kwa kuficha huu wizi wa mali za umma wa walipa kodi wa nchi hii.
 
Serikali ichukue hatua mara moja kwa Simbakalia na team yake ya management aliyoweka wakati huo Mwakibolwa, Nsemwa - ana mali nyingi sana huyu wakati shirika halina kitu, huyu alitokea BOT na naona ndiyo alichora huu mpango wa kupeleka fedha huko Mauritius.

NDC kila leo serikali ina inject capital kwa ajili ya miradi mbalimbali lakini wanatuangusha wananchi kwa kufuja mali za umma hii ni tax payers money, lazima wachukuliwe hatua na kwa mwendo huu serikali ichunguze mashika mengine ya umma.
 
Director NDC - I.J.A Nsemwa amwaga manyanga jana, hivi amelazimishwa ku-resign? au uchunguzi umekamilika na kuamua hivyo au ni mbinu yake ya kuficha mambo? Si asubiri matokeo ya uchunguzi na maamuzi ya lipi lifanyike kwa waliohusika.

Adhabu kali lazima ichukuliwe kwa yeyote atakayekuwa amehusika na huu wizi, hongera Nasari, Mama Nagu na JK.
 
aona maendeleo ya aina hii ndio tunahitaji kwa ajiri ya wananchi wa tanzania, mapesa yao lazima yarudi yote.
 
Tz tunakoelekea ni kubaya,sishangai aya mambo ata Ulaya yalitokea enzi izo baadae wakatiana adabu.
Nasi Mungu akitujalia twaelekea uko
 
wakimaliza wasisahau kuanza kuwachunguza viongozi wa ATCL na BODI YAKE;

MWENYEKITI WA BODI(MUSTAFA NYANGANYI) katika kuona wenzake wanakula akaamua kuomba STAFF NUMBER akapewa SN 1365 ili aweze kupewa mikopo.....

tar 25sept alipata safari ya HONG KONG akaomba doller 2500..aliporudi na
kuulizwa ile hela amesema jamani si niliomba mnisaidie tu....hiyo ukiacha mokpo wa million 12 aliokopa toka kwenye kampuni ya ATCL

Mwenzie mattaka akufanya ajizi aliamua kusanuka na MILLION 100 ambayo amelipa sh million 10 tu toka achukue mkopo hawa ni viongozi

DIRECTOR'S waliobakia wakiongozwa na CFO incharge anaitwa mh ELIASAPHEW hawa waliamua kupeana MILLION 72 Kila mmoja ......

Nyuma ya kampuni kuna magari yamekaa toka mwezi wa nane kesi ya magari ilipofika TAKUKURU wakaamua kuyatoa 3 kuonesha wanatoa polepole katika yadi ya Magari ya MH david MATTAKA akimtumia rafiki yake anaeitwa MR MASHAKA......Katika hayo 3 kuna MINIBUS moja ya Bw ELIASAPHEW ambae ni CFO wa ATCL lakini kila akifikiria kuliondoa anajiuliza watu wameona magari 3 itakuwaje yakibaki 2....huu ndio ufisadi wa UMMA.....

NDC KUCHAFU SIKU NYINGI SANA NA HATA HUYO MKURUGENZI ALISHAAMBIWA AKAKAA KIMYA NA KUISHIA KUTAWANYA MANENO WAFANYAKAZI WAMBEYA...... KULINDA.....


NIMETOA NA NTAENDELEA KUTOA USHAURI WANGU KAMA WANATAKKA HAWA VIONGOZI WA UMMA WAWE NA HESHIMA WAKIKABIDHIWA MAKAMPUNI
SOLN NI MOJA NI KUWASWEKA NDANI MIAKA KADHAA NA KESI ZAO ZIENDE HARAKA....SI KAMA UFISADI ULIOTUMIKA KESI YA MATTAKA AKIWA PPF
MPAKA LEO HII AIJULIKANI KESI ILIISHIA WAPI NA HAKIMU ALIPEWA NINI!!!
 
Hawa jamaa wa NDC wachunguzwe pia kwa kujiuzia nyumba za shirika kwa bei ndogo na kwa upendeleo. MD aliyepita afikishwe mahakamani kwa kuficha huu wizi wa mali za umma wa walipa kodi wa nchi hii.

MKUU RIANE SI WAFIKISHWE TU WAFUNGWE KABISA JELA...HUWA WANAFIKISHWAGA WAKIKUTANA NA MAHAAKIMU MAMA EUG MINGI..PESA MBELE KESI

PWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Jamaa hawa wa NDC muziki mzito kwanza nyumba walizomuuzia fisadi mwenzao Johnson Lukaza pale Namanga (zimezungushiwa mabati karibu na kituo cha daladala) kwa muda mrefu hizi ziliuzwa kwa karibu $ 2.5 million na NDC management ilikula hongo ya $500,000 wakampatia Lukaza hizo nyumba.

Pili jengo la La Dolce Vita (formerly NDC club) iliuzwa kwa $1.5 million jamaa hawa wa NDC walivuta ulaji pia.

Tatu majengo ya glass plant huko Mbagala na Mwanza yaliuzwa kwa mizengwe mikubwa na kila kitu NDC ni deals tuu na ulaji.

Tatizo kubwa ni ufanyaji kazi wa hizi parastatals watu wanajisahau au hawajui wanayofanya, Ndugu Nasari naona yeye katoka kwenye private sector atakuwa anashangaa sana hiyo team iliyoko hapo, amezungukwa na walaji tuu (crooks).

Nashangaa mtu kama Simbakalia anapewa kazi kuwa mkuu wa mkoa wakati NDC ameiharibu sana na kugeuza kuwa mahali pa kufanyia deals.

Hawa jamaa wapandishwe kizimbani haraka ... na mahela ya tax payers warudishe haraka.

Tanzania itajengwa na wenye meno???
 
Mbona hakuna lolote jk alilowafanya mafisadi hawa wa ndc, wa atl wala wa ppf? Ppf wanakaribia kumaliza mikataba mingine wajilipe tena milioni 200 kila mmoja na dg erio william milioni 384?






jamaa hawa wa ndc muziki mzito kwanza nyumba walizomuuzia fisadi mwenzao johnson lukaza pale namanga (zimezungushiwa mabati karibu na kituo cha daladala) kwa muda mrefu hizi ziliuzwa kwa karibu $ 2.5 million na ndc management ilikula hongo ya $500,000 wakampatia lukaza hizo nyumba.

Pili jengo la la dolce vita (formerly ndc club) iliuzwa kwa $1.5 million jamaa hawa wa ndc walivuta ulaji pia.

Tatu majengo ya glass plant huko mbagala na mwanza yaliuzwa kwa mizengwe mikubwa na kila kitu ndc ni deals tuu na ulaji.

Tatizo kubwa ni ufanyaji kazi wa hizi parastatals watu wanajisahau au hawajui wanayofanya, ndugu nasari naona yeye katoka kwenye private sector atakuwa anashangaa sana hiyo team iliyoko hapo, amezungukwa na walaji tuu (crooks).

Nashangaa mtu kama simbakalia anapewa kazi kuwa mkuu wa mkoa wakati ndc ameiharibu sana na kugeuza kuwa mahali pa kufanyia deals.

Hawa jamaa wapandishwe kizimbani haraka ... Na mahela ya tax payers warudishe haraka.

Tanzania itajengwa na wenye meno???
 
Walk like Chickens, Think like Chickens, do like Chikens, Look like Chikens, Just like Chikens............. That is what we are!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Back
Top Bottom