Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaufisadi ka NDC 2000 kagundulika 2008!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Dec 28, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tanzania itajengwa na wenye moyo. Watu wanahujumu wazi wazi, lakini si mhasibu, Bunge au mkaguzi mkuu wa mahesabu aayefanya kazi zake kwa umakini fedha yapotea na kutumika isivyopaswa yaja gundulika miaka 8 baadaye huku kila mwaka tunachapa vitabu vya ukaguzi wa mahesabu.

  Swali ni kuwa kama palikuwa hakuna stakabadhi mwaka wa kwanza, kwa nini mkaguzi hakuhoji hili mwaka uliofuatia?

   
 2. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Na wakichunguza lazima watakuta mikono ya ndugu zetu patel, manji and the like, (matajiri wetu).
   
 3. M

  Mkora JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  more information about Uhuru capital Management follow the link down

  LEGAL STRUCTURE
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Another ghostly company just like Meremeta. ukifanya google search unakuta hii kampuni ya Uhuru Capital Management Limited ni subsidiarry ya Uhuru LLC ya New York!
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Dec 29, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Hapa pia inawezekana kuna mchezo mchafu ulitembea ukihusisha ukoo wa Buckworth ulioko Uingereza, Australia na Marekani kama ifuatavyo:

  • Kulikuwa na mradi wa MATINJE GOLD Gold Tailings Project ulioanzishwa mwaka huo wa 2002 kati ya serikali ya Tanzania na wawekezaji binafsi ukihusisha makampuni ya National Development Corporation (www.ndctz.com), Uhuru Capital Management Limited (www.uhurucapitalmanagement.com). Wengine walikuwa ni wanakijiji wa Matinje kama Probable Maximum Loss holders. Lengo kuu la mradi huo ilikuwa ni kuwasaidia wachimbaji wadogo wa dhahabu huko kijiji cha Matinje, wilayani Nzega, mkoa wa Tabora, kujiendeleza kiufundi na kisheria.
  • Kufuatia mradi huo, inaelekea kuwa kuna makampuni ya Uhuru Infrastructure Fund Limited na Matinje Gold Limited yalianzishwa ili kuendesha mradi huo wa Matinje project. CEO wa makampuni yote hayo alikuwa ni Bwana Nicholas Buckworth, na ofisi za makampuni hiyo zilikuwa 6th Floor, NDC House, Ohio Street, Dar es Salaam. Yote yalitumia simu moja ya +1-212-666-2424, na walianzisha website ya mradi huo ikijulikana kama www.matinje.com.
  • Sasa mambo yanayosababisha nichomoe antena zangu ni kuwa:
   1. Kampuni ya Uhuru Capital Management LLC ya New York haijawahi kutumia website ya uhuruCapitalmanagement.com. In fact ni mwaka huo huo, ndipo huo ukoo wa Buckworth ulipofungua kampuni nyingine ya Uhuru Capital Management Pty huko Singapore ambayo haina uhusiano kabisa na Uhuru Capital Management LLC ya New York. Ila katika deal za kuanza kwa mradi wa Matinje, inaelekea walikuwa wametumia jina la Uhuru Capital Management Limited ya New York ambayo hufanya kazi zake zaidi kama charity, na hivyo ilikuwa inafit sana kwenye malengo ya mradi huo.
   2. Kuna kijana kwa jina la LOUIS NICHOLAS BUCKWORTH aliyemaliza High School hapo Stowe School Buckingham, Buckinghamshire, United Kingdom mwaka huo huo wa 2002. Baba yake ni bwana NICHOLAS BUCKWORTH ambaye tajiri mwenye asili ya Sydney huko Australia, ila mama yake alishafariki. Bwana LOUIS NICHOLAS BUCKWORTH ndiye aliregister website ya www.matinje.com mwaka huo wa 2002 kwa kipindi cha miaka sita. Website hii haikuwa na lolote la maana na huenda imeshasahauliwa kabisa. Website ilikuwa registered kwa kutumia anuani ya nyumbani kwake ya 10 Hugon Road, London, SW6 3EN Great Britain, huko Uingereza; nyumba hiyo aliinunua mwaka huo huo wa 2002 tarehe 14 June kwa £330,000 na baadaye kuiuza tarehe 21 September 2007 kwa £617,500. Aliporegister website hii alikuwa akitumia e-mail ya louisbuckworth@hotmail.com.
   3. Kuna mwanamke kwa jina la ARABELLA GREENE BUCKWORTH, yeye ni Senior Vice President na Managing Director wa kampuni ya real estate management ya BROWN HARRIS STEVENS iliyoko New York. Mama huyu ndiye mke wa sasa wa bwana Nicholas Buckworth na mama wa kambo wa Loius Nicholas Buckworth. mama huyu anayishi 425 Riverside Dr, New York, NY 10025, na simu yake ya nyumbani hapo New York ni +1-212-666-2424. Simu hii ndiyo iliyotumika ku-register kampuni ya Uhuru Infrastructure Fund Limited
  • Inawezekana kabisa kuwa katika kuendesha mradi huo, jamaa waliwashawishi NDC wakaidhamini Uhuru Capital Management Pty ya Singapore kukopa fedha kutoka benki hiyo ya Mauritius kwa niaba ya Uhuru Capital Fund, na baada ya kukopa fedha hizo, Uhuru Capital Fund yenyewe ikafa, na vile vile Uhuru Capital Management Pty ya Singapore nayo ikafa, na inawezekana vile vile na mradi wa Matinje nao ukafa kimya kimya. Kama kuna mtu anajua mradi huu wa Matinje unaendeleaje atufahamishe.
   
 6. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo Bongo unaweza kufungua kampuni na simu namba ya New York? damn hivi sisi tuna matatizo gani? kwa hiyo jamaa walipiga deal ya wizi tuu? lakini inabidi kuangaliwa vizuri ni nani aliruhusu hela hizo kutumiwa isivyo? Na kwa nini haikujulikana mpaka sasa hivi kutokea mwaka 2000? AU NDIVYO TULIVYO?
   
 7. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2008
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Bila shaka huu wizi uligundulika mapema, lakini ukafichwa. Naamini hicho ni kitu kimekuwa kikifanyika mara kwa mara kwa wizi unaofanywa na viongozi.

  Huu "uchunguzi" anafanya nani? Si vema ukafanywa na NDC au na watu kama Hosea ambao huko nyuma walishaficha wizi openly.
   
 8. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ulishakufa kifo cha mende na vifaa vyote vilishatolewa,waswahili wenzetu wachache walishiba na tayari wameacha na kazi NDC na kurudi kwenye fani zao eg Mhandisi .........
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Dec 29, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Mhandisi gani huyo? Ukimtaja inaweza kusadia wachunguzi wa swala hilo kwa sababu wataweza kuwa na urahisi wa kumhoji.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Dec 29, 2008
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  uhujumu uchumi ndani uliofanyika NDC 2000 wagundulika 2008!
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  2008-12-29 07:37:00

  Nagu orders probe into Sh2bn missing NDC cash
  By Tom Mosoba and Bernard
  THE CITIZEN

  The Government has ordered an investigation into the suspicious transfer of $1.5 million (about Sh2 billion) from a foreign account held by the National Development Corporation (NDC).

  The money was secured by NDC in 2000 as a loan from UK-based Barclays Bank but was mysteriously moved to an offshore account in Mauritius two years later.

  A statement released yesterday by NDC managing director Gideon Nasari said the funds were meant for feasibility studies on the Mchuchuma and Liganga coal mines.
  However, they were diverted and used to guarantee an unspecified loan from Investec Bank in Mauritius to a firm known as Uhuru Capital Management (PTE) Limited registered in Singapore.

  It was not immediately known who were behind the company and how much money in loans they obtained using the NDC money as a guarantee. The case is likely to trigger fresh concerns over high level corruption in the country.

  Dr Nagu confirmed yesterday that she had ordered the investigations.
  She told The Citizen in a telephone interview that the matter was brought to her attention by the NDC whose management had been given full mandate to pursue the case until the facts are set out clearly.

  "Yes, I directed that investigations be launched immediately when they brought us a report indicating that the money was missing. It is a huge amount of money," the minister said.

  Dr Nagu said the Government expected NDC to present its findings so that appropriate measures could be taken.

  Mr Nasari separately said the investigations started a couple of days ago.
  "What I can say is that investigations have already started and have the full backing of the board," he said.

  Asked who was behind the investigations, he said he could not reveal their identity, but quipped; "They are from the national investigations organs. I will be interfering with their work if I speak on their behalf."

  He said, however, the investigations were triggered by an internal audit that revealed the suspect movement of the funds.

  The loan was apparently never used for the intended purposes, with the planned development of the coal mines stalling.

  Investigation will seek to establish who authorised the use of the funds and whether or how Uhuru Capital Management was involved.

  Mr Nasari said the NDC board had never given approval for use of the loan to guarantee any company in Singapore. Investigators are also working to find out the relationship and the link between Uhuru Capital Management and the NDC.

  "Because the NDC board of directors never approved the guarantee, the Government saw a need to carry out thorough investigations on how the money was used," the statement noted.

  It continued: "and in case we establish any violation of the law and other irregularities, appropriate measures would be taken immediately against those who will be found to have been involved."

  The probe will attempt to establish those who approved the issuance of the guarantee and the actual owners of Uhuru Capital Management incorporated in Singapore.

  Mr Nasari said NDC had given the investigators the leeway to interview anyone, both in the country and elsewhere as long as they were linked to the missing funds.
  "They are free to go anywhere and interview anyone on this and we will offer them access to information they may want," he emphasised.

  The MD said as far as he knows, the issue has not been discussed by the board since he took over the office in 2007.

  He said, however, that he was sure the case was not about the search for an investor for the Mchuchuma coal mine which has sparked suspicions of corruption.
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2008
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Yaani hii nchi bwana, kila mtu anajitengenezea ka richmonduli kake, anajimegea halafu maisha yanaendelea mbele kama kawaida.
  Isijekuwa haka kaufisadi kalishajulikana siku nyingi ndio maana JK akaamua kumkurupusha Simbakalia toka NDC kwenda mwisho wa reli(Kigoma).

  Tangu bw.Utouh akabidhiwe u-CAG ameweza kufanya kazi yake vizuri sana hadi kuweza kusaidia kuibua ubadhirifu mwingi uliokuwa ukiendelea ndani ya serikali na mashirika ya umma.Nataka kuamini kuwa Simbakalia aliondolewa NDC baada ya haka kaufisadi kujulikana, na kama kawaida yao(kulindana) kama ilivyotokea kwa Lubuva, ndivyo ilivyokuwa kwa simbakalia, muungwana kampeleka mwisho wa reli akalie huko!!!
   
 13. I

  Iga Senior Member

  #13
  Dec 30, 2008
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ninavyojua ni kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zenye ma CPAs wengi au wamehama? NBAA bado inaendelea kuzalisha. Je, mkazo unahitajika upande wa auditors? Au ni njaa kali ndiyo inayofanya wakaguzi wetu kununuliwa na mafisadi???
   
 14. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Jamani hawa jamaa wa NDC wana jambo wanaficha, si bure
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Dec 30, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mrisha/Mchungaji sio kweli kuwa Mkaguzi hafanyi kazi yake vyema. Au unamuoengelea Mkaguzi wa 2000? Kama ni wa sasa basi pitia tena ripoti zake uone zinavyoanika uzembe wazi wazi. Kwa mfano kila mwaka inaanika uzembe wa udhibiti wa fedha za vyama vya siasa. Lakini maagizo yake hayatekelezwi. Mwaka unaofuatia inaanika tena na kutoa agizo hilo hilo. Ila, lo, halitekelezwi! Sasa kosa ni la nani? Ndio maana tunasema hivi: Mpeni meno Mkaguzi awachukulie hatua hao wabadhirifu hata ya kuwashitaki moja kwa moja bila kumsubiri Mwendesha Mashtaka wa Serikali na Mwanasheria Mkuu wa Serikali!
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  2008-12-30 06:59:00

  Ex-NDC head denies foul play
  By Tom Mosoba
  THE CITIZEN

  The former National Development Corporation (NDC) managing director Joseph Simbakalia yesterday said he will cooperate with investigators probing transactions that may have cost the state agency $1.5 million (about Sh2bn) in suspect transfers under his watch.

  In a phone interview with The Citizen from Kigoma, Mr Simbakalia affirmed he was called and interviewed about the matter and would still be ready to offer any information deemed necessary to the investigators.

  "They (NDC) tried to reach me and I explained to them what I know. I thought the matter ended there," said Mr Simbakalia when asked whether he had been aware of the alleged loss of the funds.

  He however expressed surprise at the news that an investigation had already been ordered, saying he learnt of the new development through the media.

  Mr Simbakalia, who is currently the Kigoma Regional Commissioner (RC), was in charge at NDC in 2002 when the $1.5 million is said to have been suspiciously moved from an NDC account with Barclays Bank in the UK to an offshore account in Mauritius.

  NDC managing director Gideon Nasari, announced the start of an investigations on Sunday.

  He said in a statement that the money was secured by NDC in 2000 as a loan from Barclays Bank to fund feasibility studies for Mchuchuma and Liganga coal mine projects, and then it was moved to Mauritius.

  The investigations that were also confirmed by the Minister for Trade and Industry, Ms Mary Nagu will among other things establish who ordered for the transfer of the money to Mauritius and NDC's relations with a Singaporean registered firm, Uhuru Capital Management (PTE) Limited, that was guaranteed using the money to obtain an unspecified amount of loans from Investec Bank of Mauritius.

  Colonel Simbakalia said he had nothing to hide and will be open and available to answer any arising queries in the matter, which observers say was likely to raise fresh concerns about high level corruption in the country.

  He told The Citizen; "I am bound to cooperate because of public office and as a matter of trust. What I can only say for now is that I will fully cooperate."

  As President Jakaya Kikwete's appointee, the Kigoma RC is the head of state's foremost representative in regional development and security matters, with supervisory and monitoring roles over all other public institutions in Kigoma.

  He was reported yesterday telling our sister paper Mwananchi that reports that the money was missing were untrue and denied any claims of embezzlement. He said all records on the use of the money were available in NDC's annual accounts reports.

  He said the money was used for the Mtwara corridor project as well as for small scale miners in the area. He said an environmental impact assessment was carried out and appropriate equipment brought in as more funds were sourced for the coal project.

  The RC said he knew about Uhuru Capital Management and noted that they used it for the project then.

  He said the said firm was chosen to help NDC avoid suspect funds and terrorism that was a big problem during that time.

  Yesterday, Mr Nasari on his part said by launching the investigations, the NDC management and board of directors were not pointing fingers at anyone.

  "We have not singled out anyone or targeted individuals, that is why there were no names being bandied about," he said on the phone.

  He explained that there were gaps noted through an audit which required that a proper inquiry be done to satisfy current concerns.

  "We want to let the team investigating this matter carry out its work freely. We have no clue who is who and only the findings could show what happened," Mr Nasari intoned.
   
 17. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Thank God we are finishing the year 2008 knowing that eventually we will know who has been the obstacle in our development. The credit i will give JK leadership for its perfomance in 2008, is letting the media to relatively free, at least, to build agenda on corruption than never before. By the way, have you guys noticed that so far most of names of most of corrupt officials and politicians brought before the court sounds christian? it might be a stupid obsevertion an interesting one!
   
 18. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oh dear! When are they going to know what is going on?
   
 19. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #19
  Dec 31, 2008
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  The question is when are they going to stop abuse of power and stealing from us?
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Dec 31, 2008
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  ...........until we stop them.
   
Loading...