Kaua vibe! kanikata stimu huyu binti!

Kaua vibe! kanikata stimu huyu binti!

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
Wakuu, kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2024.

Bila kupoteza mda nizame kwenye mada husika.

Nilienda kwenye pub flani kupata 123. Kuna mhudumu fulani akanihudumia nikamwelewa kinoma yaani. Kabinti kadogo tu yaani miaka 20 hivi kana kashepu. Ukimuona haraka unaweza kuzania hajawahi kushiriki tendo. Basi baada ya kupata drinks nikalipa pale nikamwambia abaki na chenji.

Siku ya pili naenda pale mida ya saa 9 mchana. Nikasema lazima utoe upwiru kwake. Nikakasemesha pale. Nikakanulia konyagi maana kanakunywa balaa! Kakajaa kasema nije saa 5 usiku wakikaribia kufunga.

Basi saa mida ya Saa 5 ilivyofika nikapitia na kinga kabisa dukani. Nikajua leo naenda kupiga show hatari.
Ile nimefika tu pale namtafuta nikaona watu wamemzingira. Kumkaribia nikaona analia machozi tena! Sijui kapigwa huko na meneja wake.

Daah stimu ilikata kabisa! Nikasema haikuwa bahati yangu!
 
Wakuu, kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2024.Bila kupoteza mda nizame kwenye mada husika.
Nilienda kwenye pub flani kupata 123.Kuna mhudumu flani akanihudumia nikamwelewa kinoma yaani.Kabinti kadogo tu yaani miaka 20 hivi kana kashepu.Ukimwona haraka unaweza kuzania hajawahi kushiriki tendo.Basi baada ya kupata drinks nikalipa pale nikamwambia abaki na chenji.
Siku ya pili naenda pale mida ya saa 9 mchana.Nikasema lazima utoe upwiru kwake.Nikakasemesha pale.Nikakanulia konyagi maana kana kunywa balaa!kakajaa kasema nije saa 5 usiku wakikaribia kufunga.
Basi saa mida ya Saa 5 ilivyofika nikapitia na kinga kabisa dukani.Nikajua leo naenda kupiga show hatari.
Ile nimefika tu pale namtafuta nikaona watu wamemzingira.Kumkaribia nikaona analia machozi tena! Sijui kapigwa huko na meneja wake.
Daah stimu ilikata kabisa! Nikasema haikuwa bahati yangu!
Mataqo yako.

Unatuhangaisha watu wazima kusoma uharo.
 
Back
Top Bottom