Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mwenyekiti wama
View attachment 42139
hajawahi kuvaa tangu azaliwe, golden chance:shock: Nimepatwa na shock......
Sasa Salma na yeye kwa ninialikubali kuvalishwa?
alikuwa anasomea nini tu??
ametunikiwa PHD ya nini?
Kwa mtindo huu wenye PhD za ukweli tunakereka sana. Hawa jamaa wanashusha heshima ya Hilo vazi na digrii ya uzamivu kwa ujumla.
Mtoto wa mwenzio ni wako
mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzioMtoto wa mwenzio ni wako
Hongera ya nini kiraka huyo...hata ualimu wake wa primary vyeti vya kuungaunga.Ningetukana lakin naogopa ban..wacha niishie zangu kwanza,Uso kama lapa.hongera sana mama
hongera sana mama