mwaki pesile
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 343
- 488
ni yeye tu kwa sasa
Kwani Raisi anamnunulia mbogaKama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako.
Mchezaji yeye....ni yeye tu kwa sasaView attachment 956631
Heshima ni two way traffic! Kama haheshimu watu no way watu wanawezq muheshimu,by the way sijaona ukosefu wa heshima hapo.Kama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako.
Elezea, hajamweshimu nani? labda mi mgeni tanzania.Heshima ni two way traffic! Kama haheshimu watu no way watu wanawezq muheshimu,by the way sijaona ukosefu wa heshima hapo.
Elezea, hajamweshimu nani? labda mi mgeni tanzania.
Hakika wewe ni shatisurualiKama hujiheshimu mwenyewe atleast mheshimu raisi wako. Hizi picha hazikununulii mboga nyumbani kwako.