Katuni ya siku...

Katuni ya siku...

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,606
Reaction score
23,998
udikteta1-jpg.596531
 
sijonze hasikii la mtu na anataka kutuondolea uhuru tuliozoea uhuru wa kuongea nk lazima tupige kelele hadi mwisho hatutaki kunyamazishwa kama rwanda na burundi.hii ni Tanzania iliyokua na amani sasa anatulazimisha tufikirie kulipiza visasi mateso yakizidi sana,
 
Bahati mbaya imekula kwake...hajui tuko karne gani kwani teknolojia imempa kisogo. Nasikitika kumuambia kuwa huko anakotaka kutupeleka hatuendi ng'o. Dude bado limelala limetulia, siku likiamka hao wasioonekana wataonekana mpaka na wasio na macho.
 
Back
Top Bottom