KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,265 69,512 Jan 23, 2017 #2 ha ha ha! mchochezi wewe... wote hawataki kushuka bado patamu kumbe
shululu JF-Expert Member Jan 26, 2015 28,137 109,901 Jan 23, 2017 #4 Anapitisha kwenye visiki, aisee kweli safari ni ngumu sana
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Jun 21, 2016 22,135 48,821 Jan 23, 2017 #7 Ukifungua mdomo tu unashushwa.
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,965 10,332 Jan 23, 2017 #8 Na kwa utaratibu wa Kibongo bado tuna miaka 9 ya kupitishwa huko. shululu said: Anapitisha kwenye visiki, aisee kweli safari ni ngumu sana Click to expand...
Na kwa utaratibu wa Kibongo bado tuna miaka 9 ya kupitishwa huko. shululu said: Anapitisha kwenye visiki, aisee kweli safari ni ngumu sana Click to expand...
WASHE JF-Expert Member Jan 9, 2017 746 394 Jan 23, 2017 #9 Hiyo ni safar ndefu ukijifanya mjuaji unashushwa njiani
MWANDENDEULE JF-Expert Member May 24, 2015 3,996 7,087 Jan 23, 2017 #14 Ndo anaondoka na range ya mizigo ya chad hivyo?
reby Pr Member Jan 11, 2017 8 5 Jan 23, 2017 #15 Mr.Junior said: Na kwa utaratibu wa Kibongo bado tuna miaka 9 ya kupitishwa huko. Click to expand... Hahaha umeona ee iyo adi 2025
Mr.Junior said: Na kwa utaratibu wa Kibongo bado tuna miaka 9 ya kupitishwa huko. Click to expand... Hahaha umeona ee iyo adi 2025
N Ndakilawe JF-Expert Member Jul 6, 2011 4,815 2,819 Jan 23, 2017 #17 Hakuna marefu yasio ya ncha...!