Katuni ya leo

Nisawa na magazeti yajae press releases tu. Tunaona mambo kwa mtizamo wa bunge ambao ni mtizamo viongozi wa bunge ambao macho na bongo zao zinatumia fikirisha bongo ya chama chetu.
 
Tulisha changanywa sana ka mkorogo wa zege. Sasa hatujui hata cha kufanya. Tumebaki kujiuliza swali; Tumlalamikie nani? Kama ni selfie basi wajifanyie tu. Mbunge wangu ndiye ningemwambia aniulizie kwamba kwa nini zibaki bilion 6 zirudishwe wakati ambapo sikumwona. Sasa ni huyo huyo mbunge amenyamaza kimyaaaa.
Uongozi huu wa sasa wa Job nadhani umejiandaa kwa mangumi na rungu bungeni kwa mpinzani yeyote atakaye leta upinzani. Linatakiwa bunge la Ndiyoooooo basi. Kama ameona sawa upinzani kutoka jana, sidhani atawaruhusu warudi. Hata wakirudi, hawawezi kuchangia ambacho weshakikataaa. Naona Tz tofauti sana ijayo
 
"Ha! ha! bunge liwe laivu" watu watatumbuana mpaka watafika kwenye ndundi, yaani nimuone mh. Kingoli akizichapa na ule mwili wake ulivyokuwa mzito, wacha tu! washike wenyewe hiyo mikamera.
 
Huko ni kukosa haya na kutojua fadhila.
 
Wameona aibu ya kusutana na kupashana live!! Wanaaamua kuzima! Bora tu. Maana hatakuangalia ni uozo tu.
 
Hivi Ccm hata kama wanasema wengi wenu elimu zenu ni za kuunga unga hili nalo la bunge mpaka mshauliwe jamani
 
Haha hii nchi inavituko yani ccm wanajipiga ekotike session ya bunge ambayo ni session yeye maslahi ya umma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…