Katuni ya leo

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,082
5cfe9b74833186fa25e1616e2a9ba5d4.jpg
 
Halafu baadhi ya wabunge badala ya kuulalamikia uongozi wao wa bunge ulioamua kujipiga selfie,wao wanamlalamikia rais aruhusu bunge liwe live!!

WTF!
 
Nadhani hamutasikia tena mtu katumbuliwa LIVE....Nadhani hamutasikia tena habari za bomoabomoa mabondeni.....Nadhani sasa mutasikia habari za maisha kuwa magumu kila asubuhi.
 
Kweli picha zinabeba jumbe zito sana... yani hapo anajichukua mwenyewe.. anakwenda ku edit... anacha nzuri mbaya anazifunika...
 
Wakuu..
Hili Bunge Letu ni Lakisasa..Linakwenda na wakati..
Sasa Na wao ni mwendo wa Selfie,.
Embu tuwape muda wa selfike vyakutosha..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom