Katuni ya leo kuhusu UDOM

Katuni ya leo kuhusu UDOM

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Udom.jpg
 
'Unakwenda huku wanafunzi hewa, unakwenda huku wafanyakazi hewa, unakwenda huku barabara hewa, yaani kila kitu hewa haiwezekani, kwahiyo mzee wangu Kikwete umenipa kazi ngumu hii" Dr. Magufuli.
Amesahau kutaja fyoko fyoko za Zanzibar. Kazi kweli kweli.
 
"Ha ha haa... acha nicheke tu japo sio vizuri
 
Yan uyu mchoraji ichi kibonzo anitafute ni kamnunuli kitwanga
 
'Unakwenda huku wanafunzi hewa, unakwenda huku wafanyakazi hewa, unakwenda huku barabara hewa, yaani kila kitu hewa haiwezekani, kwa hiyo Mzee wangu Kikwete umenipa kazi ngumu hii" Dr. Magufuli.
Kumbe jamaa alijenga barabara hewa!!? Ndo maana mkandarasi anamaliza tu kujenga na ukarabati unaanzia hapohapo.
 
kauli za serikali zinapo pishana lazima upate mashaka,waziri anasema tatizo ni walimu kugoma rais anaasema tatizo ni vilaza😵
 
Kumbe jamaa alijenga barabara hewa!!? Ndo maana mkandarasi anamaliza tu kujenga na ukarabati unaanzia hapohapo.
Naye jibu mwenyewe kasema amejenga barabara hewa " mi nitamtumnuwa kwa maana mganga hajigangi"
 
Utapigwa tu maana hamna jinsi. Mchora katuni ibara ya 74 kifungu cha 4na 5 kinakataza hicho
 
Back
Top Bottom