Hakuna cha kujifunza na Masoud naye ni msaliti, mhaini, anatumiwa na CCM na pia ni mtu ZZK na usalama wa taifa ( Kwa sauti Tundu Lissu akiwa amesahau dawa zake za ukichaa)
Unamaoni gani kuhusu mapokezi ya katibu wetu mkuu kule Kahama na leo kigoma?
Nawashauri wavuke tu
Masoud Kipanya ni Cartoonist na Kazi Ya Cartoonist ni Kutoa Maoni, Kupongeza, Kusifia na Kukosoa na Kama Ulisoma Interpretative Reporting Utanielewa na Anachokifanya Masoud Kipanya ni Kitu Kiitwacho Pictorial Editorial na Yupo Very Professional. Mbona Siku Zingine Anapokuwa Anasifia Ya Upinzani Huwa Hamsemi? Katika Watu Ninaowakubali basi Masoud Kipanya ni Mmoja Wapo na Nampenda Sana huyu Jamaa tokea Alipokuwa Clouds Fm na Hadi Alipohamia Times Fm Jamaa Amekuwa Juu na Ana Uwezo Mkubwa Mno Wa Kufikiri na Kujenga Hoja na Kuitetea. To Me He is My Mentor na Bahati Nzuri Tupo ktk Same Profession.
wanaotumiwa na MaCDM ni akina nani?

Umenichekesha...!!
Sijui kwanini nimeanza kuwa na mashaka na kichwa cha Tindu Lissu katika siku za karibuni.
kweli mkuu hawataweza kuvuka maana dah!!!!hawata weza kuvuka hata kidogo
ninacho jiuliza kwanini miguu haigusi chini na kwanini kakumbatia hicho kiti?kutoka kwa kingkinya