Katuni ya Gado inatafisiri gani?

Ndugai ni speaker iliyokwisha muda wake. Inatakiwa kuondolewa na kupatikana speaker mpya
 
They team up together to topple the incumbent; by achieving the mission, they start to eliminate each other !!! Tumeyaona nchi jirani na nchi za ng'ambo. Sisi hapa kuna waandishi uchwara wanalazimisha scenerio hii tuvurugane; watashindwa sana na hao wanaowatuma, Tanzania itabaki moja ya umoja, amani na upendo.
 
Umoja na upendo Jiwe alisha unajibu na kuligawa taifa kwenye vipande vipande kwa manufaa yake mwenyewe.

Mungu ni mkubwa anafanya yaliyo ndani ya uwezo wake.

Sasa Mama Samia anaurudisha huo umoja na mshikamano.
 
Umenikumbusha kitu mkuu lakini tutafika
 
Tat
Tatizo la vijana wa Chadema ni kuwa kila siku lazima walalamike na kuchukia mtu anayepinga matakwa yao. Mnamchukia Ndugai kwa vile hajawafukuza akina Halima. Hili ni Tatizo kubwa na ni udikteta mkuu. Ndugai ameeleza Malaika wenu walipokosea ila hammsikilizi zaidi kutafuta huruma ya Samia ili amtimue kama Sabaya (ambalo si rahisi kama mnavyodhani na isitoshe ni mhimili unaojitegemea) au mwenyezi mungu amchukue. Siku Samia akitoka gizani mtaanza naye kumchukia kama mlivyokuwa na mnavyoendelea kumchukia JPM
 
Weee ndiye speaker iliyotoboka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…