katuni nyepesi kuchora mwaka 2017

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,483
2,000
Kona kosa la kimitandao ambalo halikutajwa kwenye sheria iliyopitishwa, nadhani itasaidia kuua vipaji kama hiki!
 

mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
4,696
2,000
wakuu nimefanya uchunguzi nikagundua kuwa ipo katuni ambayo haihitaji kuwa msanii ili uipatie ni kitendo tuu cha kufikiria na kuchora bila hata penseliHuyu ni mwanafunzi wangu wa darasa la 2 anaitwa Juma ........Jana niliwapa wazo la kuchora mtu wanayempenda Zaidi ndipo akanicholea rais wetu. Dogo atakuwa na future nzuri sana kwa kutambua jitihada azifanyazo rais wetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom