The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Kwa heri Zitto huko musaliamie Dk Masumbuko Lamwai,Dan Makanga,Juliana,Hamad Rashid,Ngawaia,Dr Walid Kabouru na Mzee Mrema.Waambie huku UKAWA mapambano yanaendelea ya kuwakomboa Watanzania tunaanzia KATIBA PANDIKIZI sisi hatupigi kura kwani mchakato wa mapendekezo ya wananchi haukufatwa na pia MAPAMBANO YA HAKI YANAENDELEA na Makamanda wetu Prof LIPUMBA,Malimu HAMAD,Dr SLAA,MBOWE,MBATIA na MPAMBANAJI MAKAIDI
Hapo wanakula music au walikuwa kumbatiana kwa kupongezana, ha ha ha ha inapendeza.
Umewasahau
David kafulila,moses machali pia
Chadema ina bidi wajipange zitto hakifikilia kuanzisha chama chake watateteleka chadema
Chadema ina bidi wajipange zitto hakifikilia kuanzisha chama chake watateteleka chadema