Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
nguo unaziona weweKavaa nguo lakini wenzake wanamuona mtupu...
ametembea nao wote? Kila mmoja anajishuku.....Inasemaje hii? View attachment 927619
...............Yaani hapo hao askari wanajaribu kupata picha kwamba kama ikitokea nikapata kazi ya kupeleleza hii case basi lazima na mimi nimvue nguo nimfanye alichokuja kulalamika hapa,wanaona ni kama kilichompata alijitakia.Sijakuelewa
huyo msichana kashika ripoti ya shambuli la kingono, hapo inaonyesha hao wanaume wote katembea nao sasa kila mmoja anajishuku kuwa yeye ndio atatajwaInasemaje hii?
Hahaha ina maaana vidume tuuu ndo wanatamani
Wewe ndio upo sahihihuyo msichana kashika ripoti ya shambuli la kingono, hapo inaonyesha hao wanaume wote katembea nao sasa kila mmoja anajishuku kuwa yeye ndio atatajwa
Wale Askari wote wameambukizwa ngoma................Yaani hapo hao askari wanajaribu kupata picha kwamba kama ikitokea nikapata kazi ya kupeleleza hii case basi lazima na mimi nimvue nguo nimfanye alichokuja kulalamika hapa,wanaona ni kama kilichompata alijitakia.
Refer issue ya Amba nini sijui!!
Mkuu Uko vizuri kwenye kutafsiri picha. Hongera Sana.Kavaa nguo lakini wenzake wanamuona mtupu...
Mimi ni mchoraji, kwa hiyo nazijua lugha za picha...Mkuu Uko vizuri kwenye kutafsiri picha. Hongera Sana.
Huko ndipo kuna ufilauni wa ajabu ukifunuliwa hakuna atakaye amini..Inasemaje hii? View attachment 927619
Kweli kabisa, ndio maana macho yamewatokahuyo msichana kashika ripoti ya shambuli la kingono, hapo inaonyesha hao wanaume wote katembea nao sasa kila mmoja anajishuku kuwa yeye ndio atatajwa