Kwa kawaida kauli za kusema nchi imemshinda Rais zinatolewa kwa nchi ambayo kuna uhuru mkubwa wa kutoa maoni. Ka hili sidhani kama kuna mtu atasema kuwa Rais nchi imemshindaLeo hao watashauri nini???? maana aliyebaki afadhali hapo ni JK tu, lakni anakashfa kubwa kushinda wote hao kuwa nchi imemshinda, utachukua mawazo kwa mtu ambaye nchi imemshinda??? 1USD 2060TZS, ESCROW, EPA, Richmond, Merameta, DeepGreen, Tokomeza etc
Katika utawala wa kidemokrasia, utawala wa sheria na maamuzi ya wengi hutawala utendaji wa shughuli zote. Ila utawala wa kidikteta kama wa Kagame na Museveni, nchi huongozwq na mtu mmoja tu.Lizaboni kushindwa ni kushindwa tu hata kama urais nao utawekewa viwango duni ili apete kama madaraja ya mitihani sekondari BRN hadi ikulu???
hapo mbona wa BURUNDI HAYUPO?
EPA, Merameta, DeepGreen zinamhusu mkapa zaidi kuliko Kikwete.Leo hao watashauri nini???? maana aliyebaki afadhali hapo ni JK tu, lakni anakashfa kubwa kushinda wote hao kuwa nchi imemshinda, utachukua mawazo kwa mtu ambaye nchi imemshinda??? 1USD 2060TZS, ESCROW, EPA, Richmond, Merameta, DeepGreen, Tokomeza etc
EPA, Merameta, DeepGreen zinamhusu mkapa zaidi kuliko Kikwete.
Yupo tazama vizurihapo mbona wa BURUNDI HAYUPO?
Hata hivyo uhuru ule ushaondolewa na sheria ya makosa ya mitandao! Hata JF kama unaitazama kwa ndani imeshaanza kuathirika!Kwa kawaida kauli za kusema nchi imemshinda Rais zinatolewa kwa nchi ambayo kuna uhuru mkubwa wa kutoa maoni. Ka hili sidhani kama kuna mtu atasema kuwa Rais nchi imemshinda