Katuni bora ya mwaka

Katuni bora ya mwaka

Mkuu haya ni mawazo ya chama tawala,ambapo amri jeshi ndo mwenyekiti wa chama.
alafu ukumbuke katiba ya wananchi ilipendekeza mamlaka ya rais yapunguzwe,mkaipoka!
Na hilo ndo tutaanza nalo.Mawazo ya kizamani kamwe hayana nafasi kwenye ulimwengu wa mabadiliko.

EL,Sumaye na Kingunge wamebadilika ndo maana wapo upande wa mabadiliko
waliobaki bado wana mawazo ya zidumu fikira za mwenyeki.
Eti 'hilo ndo mtakalo anza nalo'...!? Nyie ni akina nani?
Madaraka ya urais yanaenda kwa mtu mmoja si Kikundi cha watu.
Kati ya mambo ambayo mgombea wenu ameahidi kutekeleza ndani ya siku 100 hilo ni namba ngapi?
Urais wa lowasa kama akiwa ni wake na familia yake,ndo maana unaona kampeni za BMW (baba,mama na watoto).
Halafu ufuatilie maoni aliyoyatoa lowasa kwenye tume ya Warioba. Ukiyajua utajiunga na dk Slaa.
 
Hiyo katuni inaakisi vijana wa magamba ambao kwa mkumbo wameamua kushabikia ccm ambayo imetawala babu na bibi zao mpaka baba na mama zao.
 
Eti 'hilo ndo mtakalo anza nalo'...!? Nyie ni akina nani?
Madaraka ya urais yanaenda kwa mtu mmoja si Kikundi cha watu.
Kati ya mambo ambayo mgombea wenu ameahidi kutekeleza ndani ya siku 100 hilo ni namba ngapi?
Urais wa lowasa kama akiwa ni wake na familia yake,ndo maana unaona kampeni za BMW (baba,mama na watoto).
Halafu ufuatilie maoni aliyoyatoa lowasa kwenye tume ya Warioba. Ukiyajua utajiunga na dk Slaa.
Unamaanisha nami nipore wake za watu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom