Katubu uenezi CCM anatafutwa, huyu wa sasa amekuwa mpole na simachachari

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kuna habari zinasema Katibu Muenezi wa sasa wa CCM amekuwa mpole na simachachari kiasi kuwa chama akionyeshi makucha wala taasisi zake,nakusema uvccm wamekuwa wakikatazwa kutoa matamko nakusababisha mvutano ndani ya Katibu muenezi na taasisi hiyo ya vijana !

Nakusema taasisi zimezorota kufikia kiwango kisicho ridhisha!,na kuna mkakati wakumuondosha na kumpa ajira nyine hivyo huu ujio wa Jerry Muro ni mkakati pangwa ndani vijana wa ccm wanaojiona wao ndio wanaoweza kutoa matokeo chanya!Kazi iliyopoo nikupitia kwa mtu mwenye ushawishi kwa Mwenyekiti wa CCM ili alitazame kwa makini hili hata ukiona utaona mkutano na waandishi wa habari utajikita kujitengenezea mazingira yakuaminika ndani ya chama.

UVCCM wanaamini siasa za Katibu mwenezi hazina kazi wao wanaona siasa za kuparurana katika majukwa kwa sasa ndizo zinafaa kwa kilindi hiki.

Yetu Macho.
 
Kuna habari zinasema Katibu Muenezi wa sasa wa CCM amekuwa mpole na simachachari kiasi kuwa chama akionyeshi makucha wala taasisi zake,nakusema uvccm wamekuwa wakikatazwa kutoa matamko nakusababisha mvutano ndani ya Katibu muenezi na taasisi hiyo ya vijana !nakusema taasisi zimezorota kufikia kiwango kisicho ridhisha!,na kuna mkakati wakumuondosha na kumpa ajira nyine hivyo huu ujio wa Jerry Muro ni mkakati pangwa ndani vijana wa ccm wanaojiona wao ndio wanaoweza kutoa matokeo chanya!Kazi iliyopoo nikupitia kwa mtu mwenye ushawishi kwa Mwenyekiti wa CCM ili alitazame kwa makini hili hata ukiona utaona mkutano na waandishi wa habari utajikita kujitengenezea mazingira yakuaminika ndani ya chama.
UVCCM wanaamini siasa za Katibu mwenezi hazina kazi wao wanaona siasa za kuparurana katika majukwa kwa sasa ndizo zinafaa kwa kilindi hiki.
Yetu Macho.
Wampe bashite ccm itakuwa strong maana ni mbabe
 
Chama zaidi ya miaka 50 bado kinahitaji kunadiwa...!!

Nafasi hii (Uenezi) nadhani inapatikana Bongo tu kwa sasa kama sijakosea (naomba kurekebishwa)..
 
Siipendi CCM,sipendi Mashetani wa kijani!Hata mtaani kwangu huwezi kupita na nguo ya Kijani ukabaki salama
 
Naogopa kuchangia maana watu wa ccm wakileta habari chonganishi kama hizi vijana wa chadema hutoa matusi na hujiona wao wanajua kuliko wengine
 
Kwa zaidi ya miaka 30 kama chama dola, CCM kilikuwa sio chama cha kufanya kampeni wala kunadiwa. Wakitekeleza sera wanazohutubia katika kampeni
 
njaa mbaya sana hasa njaa ya awamu hii, inadhalilisha utu wa binadamu.
 
Back
Top Bottom