Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Yaani huyu zwazwa ndo wa kumpelekea toilet paper? Achana nae nzi wamfuate.Umemaliza? Nilete toilet paper?
Yaani huyu zwazwa ndo wa kumpelekea toilet paper? Achana nae nzi wamfuate.Umemaliza? Nilete toilet paper?
Amekufa mama yako wewe shogaUmekufa wewe sio CCM
Akili ya LumumbaKATUBU ( katibu)
Sorry mkuu sikuwa nimeangalia id yako, silumbani na wewe tena.Amekufa mama yako wewe shoga
Jerry uwezo ni mdogo na anakosa sifa ya msingi kuwemo katika CCM mpya!! Tukihitaji mtu wa kuongea sana tayari CCM tunaye Haji Manara huyo Muro aende TLP ya Mrema!Kuna habari zinasema Katibu Muenezi wa sasa wa CCM amekuwa mpole na simachachari kiasi kuwa chama akionyeshi makucha wala taasisi zake,nakusema uvccm wamekuwa wakikatazwa kutoa matamko nakusababisha mvutano ndani ya Katibu muenezi na taasisi hiyo ya vijana !
Nakusema taasisi zimezorota kufikia kiwango kisicho ridhisha!,na kuna mkakati wakumuondosha na kumpa ajira nyine hivyo huu ujio wa Jerry Muro ni mkakati pangwa ndani vijana wa ccm wanaojiona wao ndio wanaoweza kutoa matokeo chanya!Kazi iliyopoo nikupitia kwa mtu mwenye ushawishi kwa Mwenyekiti wa CCM ili alitazame kwa makini hili hata ukiona utaona mkutano na waandishi wa habari utajikita kujitengenezea mazingira yakuaminika ndani ya chama.
UVCCM wanaamini siasa za Katibu mwenezi hazina kazi wao wanaona siasa za kuparurana katika majukwa kwa sasa ndizo zinafaa kwa kilindi hiki.
Yetu Macho.
Mkuu usiogope maana hapa ni chuo cha kashfa tuendelee tuuSorry mkuu sikuwa nimeangalia id yako, silumbani na wewe tena.