Ashakum si matusi, Nimeenda hadi kujichungulia nitafute kitu mnaongelea hapa...
Kuna clit, ndio kiharage sio?
Labia minora ' ndio kama ulivyoielezea hapo.
Labia majora ' mashavu ya uke
Sasa wakitoa labia minora panabaki vipi jamani? Ni ukatili somehow hata kama ndio mila zao.