Katu usimkekete binti yako...

Sasa imekua waislam tna?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti uchi unatisha,kumbe hata nyinyi wenyewe huwa mnajiogopa mkiangalia?
Kiungo kimenuka mda wote sasa kikikatwa mashavu na clitoris si ndo inatisha ka mdomo usio na meno
 
Kwaiyo unamaamisha Ni UISILAMU ndo unafundisha kukata visimi[emoji3][emoji3][emoji3]...
 
Sasa imekua waislam tna?
Yes Waislam, kwani wakimbizi Nigerians, Burkinabe, Mali, Togo (Waislam) hufanya haya ukimbizini na wakishikwa wanachukuliwa hatua. Marekani (Atlanta na Michigan) wakimbizi wengi Waislam wenye asili ya kiarab wengi wao walikamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa unyama huu dhidi ya watoto wao.
 
Kwaiyo unamaamisha Ni UISILAMU ndo unafundisha kukata visimi[emoji3][emoji3][emoji3]...
Siamini kama Usilam unafundisha ukataji visimi ila Waarab Waislam wanakata visimi vyao kwa kisingizio ama vigezo vya imani ya dini yao.
 
Kwaiyo unamaamisha Ni UISILAMU ndo unafundisha kukata visimi[emoji3][emoji3][emoji3]...
Sahih Muslim 349: The Messenger of Allah (ﷺ) said: When anyone sits amidst four parts (of the woman) and the circumcised parts touch each other a bath becomes obligatory

Sahih bukhari 5891: I heard the Prophet (ﷺ) saying. "Five practices are characteristics of the Fitra: circumcision, shaving the pubic hair, cutting the moustaches short, clipping the nails, and depilating the hair of the armpits.

Sunnah abu dawud 527:Narrated Umm Atiyyah al-Ansariyyah:

A woman used to perform circumcision in Medina. The Prophet (ﷺ) said to her: Do not cut severely as that is better for a woman and more desirable for a husband.
 
I capitalise the last sentence...
TUACHE MILA ZA KIPUMBAVU.
 
Wengine sio kukosa elimu au kulazimishwa. Akiona hv kichwa kinawaka na yeyeanatamani. Wale mliosema wanajificha, mje na huku pia. Sishabikii lakini muelewe nyuma ya pazia kuna mengii
 
Siamini kama Usilam unafundisha ukataji visimi ila Waarab Waislam wanakata visimi vyao kwa kisingizio ama vigezo vya imani ya dini yao.
Kwaiyo mapadri Kulawiti watoto..huo ndo ukatoliki?
Ndugu yangu Waarabu wapo waisilamu na wasio waisilamu..Na hata huko kwa wakurya wapo waisilamu wanaokeketa.

Kwaiyo mtu kuitwa muisilamu Ni kuishi na kutenda Kama Quran itakavyo na sunna za Mtume Muhammad (PBUH).
Hakuna kwenye Quran Wala sunna za Mtume sehemu inasema wanawake wakatwe ViSiMi..

Tamadani za Watu usizihusinishe na UISILAMU..
 
Nani aliyekuambia mapadri wanabaka watoto peke yao? Mbona hata masheikh na maimam nao wanafanya hivyo? Asimilia kubwa ya wanawake wa Kiarab wanakatwa visimi vyao, mbona hili halina ubishi? Nenda hapo Misri au Yemen kashuhudie.
 
Mapadri wanabaka, masheikh wanalawiti fullstop.
 
Nani aliyekuambia mapadri wanabaka watoto peke yao? Mbona hata masheikh na maimam nao wanafanya hivyo? Asimilia kubwa ya wanawake wa Kiarab wanakatwa visimi vyao, mbona hili halina ubishi? Nenda hapo Misri au Yemen kashuhudie.
Kukatwa visimi ni utamaduni wawatu husika..sio KWAMBA DINI YA UISILAMU INAFUDISHA HIVYO.....
Naomba uwe muelewa basi
 
Tanzania kuna jamii nyingi sana zinafanya ukeketaji...! Lakini sijui kwanini wakurya tu ndio huwa wanashikiwa bango sana
 
Mimi naomba nimalizie na hili wanawake walio keketwa ni malaya sanaaa. Hawajui kukataa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…