Katu usimkekete binti yako...

Katu usimkekete binti yako...

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,601
Ni kuwaonea sana!
Yani mabint waliokeketwa wanapitia changamoto kibao ktk maisha yao ya mapenzi;
1, Hawafeel sex kwa 100%
2, Wakisex wanaumia
3, Hawako huru kitandani wanajifichajificha mara zima taa mara mchana no sex
4, They are not sweety at all coz their virgina is very wide and open as a result of cutting of labia majora and manora
5, Wakijifungua wanapoteza damu nyingi sana kwasababu wanachanika sehemu zilizokatwa/makovu badala ya kutanuka.

Kisa.
Nimekutana na mabinti wawili tofauti mmoja wa Kimasai na mwingine Mkuria in Dar and they are bellow 30 but wamekeketwa kumbe bado hii inafanyika aisee.


Wote wanapitia changamoto moja japokuwa kimionekana they are very beautfull.

KUMKEKETA BINTI YAKO NI KUMKOSEA SANA AISEE HEBU TUACHENI MILA ZA KIPUMBAVU.
 
Hili la kutofeel raha ni uongo tu. Sisi wenyejiwa huko ndio twaujua ukweli. Ni vile tu wanaume wengi wamezoea vya kutfuniwa. Na ukweli ni kuwa, ukiweza kumridhisha mwanamke aliyekeketwa na akatosheka hakuna mwanamke atakayekushinda dunia hii. Labda maiti
 
Unakutana na binti hajiamini kabisa and bad enough kuna wanaume wanawanyanyasa kutokana na hali yao, kosa sio lao kwa sababu sio wao waliamua kufanyiwa hivyo. FGM bado ipo licha ya elimu kutolewa lakini bado inafanywa sana na hata walioelimika, hizi mila za ajabu zitokomezwe maumivu yake n makubwa mno. Kama umeshadate na mmoja wao na unajali utajua na kuona changamoto wanazopitia.
 
Hili la kutofeel raha ni uongo tu. Sisi wenyejiwa huko ndio twaujua ukweli. Ni vile tu wanaume wengi wamezoea vya kutfuniwa. Na ukweli ni kuwa, ukiweza kumridhisha mwanamke aliyekeketwa na akatosheka hakuna mwanamke atakayekushinda dunia hii. Labda maiti
Kwa hiyo ni sawa kukeketa?
 
Hivi makovu....au kovu au kikovu.

Afu si kinakatwa kile kiharage sasa adi mwanaume uone kile....labda ukiwa unataka kupiga deki

Baba mm nimekaa kule kanda maalum katika hii michezo ya kufukua fukua unaona ni kweupe kabisa. af ile kanda maalum pendwa wana ile kitu ni ndefu kama ile ya Bata mzinga, sasa ukikuta imekatwa huwa inajitahidi kukua huku ikiwa butu

Yani ukimchukua ukamvua nguo ukamuweka kwenye upepo utasikia mlio kama umepuliza chupa ya soda
 
Back
Top Bottom