Katto: Siwajui vigogo wauza Unga

Katto: Siwajui vigogo wauza Unga

Sema "su" nianze na Iddi Azan!

inasikitisha baada ya askari kufanya uchunguzi na kutafuta mbinu za kuzuia usafirishaji wa dawa hizo kupitia uwanja huo wanaacha uchafu huo uendelee then wanataka raia ndio wawapeleke ushaidi shame on you
 
Ili ni tatizo kubwa nadhani sheria iangaliwe upya juu ya atakaye kamatwa kwa manufaa ya TAIFA letu.
 
Rais ajae list hii ya watumishi wazembe unawaona, akikisha 2015 wanafukuzwa kazi fasta
 
Siku hizi ukikamatwa na mzigo ndani ya nchi tu unasema umetumwa na RizMoko!hupelekwi popote!wanajua tu kuwa ndio wale wale wanachanga hela ya uchaguzi!kama unabisha subiri Masogange kama nayo sio Comedy au Series yenye episode 30!utasubiri sana
 
Back
Top Bottom