katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
- Thread starter
-
- #61
Unauzika why unauzika ??
Unauzika why unauzika ??
Nahuku hata hatujuani au ulishaniona sehemu ?
Huu mwaka kwangu yaani kubishana na mtu sio fresh siwezi i will do one thing sintatoa posts.
Nitakaa kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitoi tena walahiUmenisahau tu, naamini uukija kuanza kutoa post zitakua vizuri.. Good luck [emoji256]
Sent using Unknown device
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katoto kaongo sana![emoji23][emoji23][emoji23] supu kwenye mfuko
MarvellousHuwa napenda sana kusoma threads za wadada wanaopenda kuchangia masuala mbalimbali hapa JF na kusema kweli zinanifurahisha, ila ninapokuja kwenye nyuzi zako. . . Dah 90% ni mavi ya kuku. Who told you being stupid is sexy! ? Who told you being slutty is fantastic! The sexiest thing in the entire world is being really smart. And being thoughtful. And being generous. Everything else is crap!
Yaan wewe dem bwana ulivyo ulivyo sasa kama furushi tumbo halijulikani liko wapi,unavyopenda sasa mahandsome sasa,wanasema hakuna mtu mbaya!lakini wewe demu ni mbaya na mbovu!Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara .
Baby baby yule kaka akasema what ???
I love you jamani katoto kazuri nenda shule salama.
Akampatia kimfuko kinachonukia kuangalia kumbe vitafunwa na supu tu nzuri ya kuku.
Nikawaza bado kunawatu wanajaliana kiasi hiki?
Ila yule kaka alikuwa handsome sana ila kakosa kitu kimoja usafiri.
Huwa mtu kama hana usafiri mmh! Unakaa pembeni kabisa unafunga zipper yako.
Halafu bado mwanafunzi.
So huwezi wekwa mtu baki.
Ila alikuwa ka handsome kweli.
Natupogi majirani muda nikitoka anatoka.
Mkewe ni mkubwa kiumri mf.25 kahandsome mkewe 34 au 36 so ninawaza haya maisha yao ila hadi wameona wanawezana.
Basi tu yangu macho sitaki dhuluma.
Ila hata hako katoto kao combination yao ni amazing katoto kanamiaka miwili so amazing kazuri balaah!.
Je kuna mtu humu anayepewa msaada na mkewe kwa lolote kwa maana huyo mdada anampa kila kitu yule jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikushangai unakichaa mimi sihangaikagi na vichaa ova .Yaan wewe dem bwana ulivyo ulivyo sasa kama furushi tumbo halijulikani liko wapi,unavyopenda sasa mahandsome sasa,wanasema hakuna mtu mbaya!lakini wewe demu ni mbaya na mbovu!
Ova!