Daaahh!! But why?? Sijui nimelichukuliaje hili swala ila kulikua na ulazima kweli wa kuliweka hili swala jamvini mkuu?? Samahani lakini mkuuKubwa kabisa hilo, ila nadhani kuna kitu hakiko sawa kichwani.
Nilikutana nalo ktk harakati za vijana.. Acha tu.
Sent using Unknown device
Hahahaaaa maskini daah
Hahahaaaa maskini daah
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848] basi nawewe ni mpumbavuDuuh nimepoteana kwa huu uzi, huenda mi ndio sielewi au mwandishi ni mpumbavu sana.
Duuh, kwa hiyo kama ulikutana nae?Kubwa kabisa hilo, ila nadhani kuna kitu hakiko sawa kichwani.
Nilikutana nalo ktk harakati za vijana.. Acha tu.
Sent using Unknown device
[emoji23][emoji23][emoji23] supu kwenye mfukoKaletewa mfuko unanukia vizuri, kufunua mfuko ukaona supu ya kuku?
Huko kwenu supu mnabeba kwenye mifuko?
Ka uzi ka kitoto, kutoka kwa katoto kaongo!
- KANA -
Mnilipe niandike mabandiko ya akili siwezi umiza akili yangu kutoa kitu kizuri na huku silipwi na jf .Sasa akili na mambo iendane na huo umri.. Hufananii na hayo ma bandiko yako, mi sifurahii kabisa
Sent using Unknown device
Mnilipe niandike mabandiko ya akili siwezi umiza akili yangu kutoa kitu kizuri na huku silipwi na jf .
Sent using Jamii Forums mobile app