katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Pombe zikiisha edit uzi tafadhali
Kila la kheri Stars
Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara .
Baby baby yule kaka akasema what ???
I love you jamani katoto kazuri nenda shule salama.
Akampatia kimfuko kinachonukia kuangalia kumbe vitafunwa na supu tu nzuri ya kuku.
Nikawaza bado kunawatu wanajaliana kiasi hiki?
Ila yule kaka alikuwa handsome sana ila kakosa kitu kimoja usafiri.
Huwa mtu kama hana usafiri mmh! Unakaa pembeni kabisa unafunga zipper yako.
Halafu bado mwanafunzi.
So huwezi wekwa mtu baki.
Ila alikuwa ka handsome kweli.
Natupogi majirani muda nikitoka anatoka.
Mkewe ni mkubwa kiumri mf.25 kahandsome mkewe 34 au 36 so ninawaza haya maisha yao ila hadi wameona wanawezana.
Basi tu yangu macho sitaki dhuluma.
Ila hata hako katoto kao combination yao ni amazing katoto kanamiaka miwili so amazing kazuri balaah!.
Je kuna mtu humu anayepewa msaada na mkewe kwa lolote kwa maana huyo mdada anampa kila kitu yule jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Taifa stars wameshinda tuwahi bia za vaisiii presidaa?Hebu tulia uandike vizuri. Sijui unawahi bia za nusu bei?
Duuh nimepoteana kwa huu uzi, huenda mi ndio sielewi au mwandishi ni mpumbavu sana.Basi juzi nilikuwa na pita bhana kuelekea shule akatokea kijana mtanashati nikasema loh ni viben ten au nini kidogo akawatu amuita ni kasichana fulani kachotara .
Baby baby yule kaka akasema what ???
I love you jamani katoto kazuri nenda shule salama.
Akampatia kimfuko kinachonukia kuangalia kumbe vitafunwa na supu tu nzuri ya kuku.
Nikawaza bado kunawatu wanajaliana kiasi hiki?
Ila yule kaka alikuwa handsome sana ila kakosa kitu kimoja usafiri.
Huwa mtu kama hana usafiri mmh! Unakaa pembeni kabisa unafunga zipper yako.
Halafu bado mwanafunzi.
So huwezi wekwa mtu baki.
Ila alikuwa ka handsome kweli.
Natupogi majirani muda nikitoka anatoka.
Mkewe ni mkubwa kiumri mf.25 kahandsome mkewe 34 au 36 so ninawaza haya maisha yao ila hadi wameona wanawezana.
Basi tu yangu macho sitaki dhuluma.
Ila hata hako katoto kao combination yao ni amazing katoto kanamiaka miwili so amazing kazuri balaah!.
Je kuna mtu humu anayepewa msaada na mkewe kwa lolote kwa maana huyo mdada anampa kila kitu yule jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Dogo na stori zake za primariKastory ka kitoto
Hahahah mkuu kidogo nidondoke aise nilivyocheka comment yako.