katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Wacha we jamani asanteeKwa CCM sawa karibu Sana ghetto kwangu nikupange Mimi Nina cheo kikubwa tu katika chama
View attachment 1070549
Kama unajiamini u canMnaonaje katoto kazuri kugombea ubunge viti maalum kwanza naweza kuongea na busara na hekima na pia najitambua pia nyie mnalionaje hili 2025 nikagombea??
Tiketi ya CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes lazima wajue kama utaweza kuhandle hiyo position and then ndio wakuappoint kama umemzidi mwenzio kwa maksi i mean kama mjudge wameagree.Hivi mbunge viti maalum anagombeaga au mm ndo sijui sheria
unaweza sana, kwanza huna woga na una hekima na busara sanaaMnaonaje katoto kazuri kugombea ubunge viti maalum kwanza naweza kuongea na busara na hekima na pia najitambua pia nyie mnalionaje hili 2025 nikagombea??
Tiketi ya CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio vizuri ukiwa huna huwezi deal na maisha haya ukiwa umetuliza akili utateswa sana .Tatizo una kichwa resi sana
weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo una kichwa resi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Haha eti eeeNdio vizuri ukiwa huna huwezi deal na maisha haya ukiwa umetuliza akili utateswa sana .
Maisha haya sisi vichwa resi ndio tunatakiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongea ukweli[emoji23]