Sasa kwanini uwe na jiji la moshi na arusha umbali wa saa 1?Nyie ndo wabinafsiIla watu wa huko ni wabinafsi kupitiliza. Haijawahi kutokea Wilaya inapigiwa chapuo iwe Mkoa, kijiji kiwe mji, jimbo lijengewe airport, mbuga, mabenki, chuo, jengo la TRA, na bado kuomba Mkoa jirani uwachangie eneo daaah!
Halafu nikiwaza huyo mungu wenu alivyozima mchakato wa Moshi kuwa jijieti kisa watu wa huko ni wapinzani, ndiyo ninachoka
Moshi gani hiyo iwe jiji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila watu wa huko ni wabinafsi kupitiliza. Haijawahi kutokea Wilaya inapigiwa chapuo iwe Mkoa, kijiji kiwe mji, jimbo lijengewe airport, mbuga, mabenki, chuo, jengo la TRA, na bado kuomba Mkoa jirani uwachangie eneo daaah!
Halafu nikiwaza huyo mungu wenu alivyozima mchakato wa Moshi kuwa jijieti kisa watu wa huko ni wapinzani, ndiyo ninachoka
Tukitumia hicho kigezo chako nayaona majiji kama 7 hivi, kigoma, mtwara, tabora, bukoba, songea, singida, na katavi.Sasa kwanini uwe na jiji la moshi na arusha umbali wa saa 1?Nyie ndo wabinafsi
Arusha ni Makao Makuu ya Mkoa wa Arusha kwa hiyo kuwa na jiji kisheria ni sawa.Sasa kwanini uwe na jiji la moshi na arusha umbali wa saa 1?Nyie ndo wabinafsi
wakati munajipelekea barabara za rami na umeme kila kijiji huko kwenu kuna mtu alihoji?Ila watu wa huko ni wabinafsi kupitiliza. Haijawahi kutokea Wilaya inapigiwa chapuo iwe Mkoa, kijiji kiwe mji, jimbo lijengewe airport, mbuga, mabenki, chuo, jengo la TRA, na bado kuomba Mkoa jirani uwachangie eneo daaah!
Halafu nikiwaza huyo mungu wenu alivyozima mchakato wa Moshi kuwa jijieti kisa watu wa huko ni wapinzani, ndiyo ninachoka
hawa jamaa wakikusimulia moshi ilivyo unaweza sema wanazungumzia NY ndani ya tz.Moshi gani hiyo iwe jiji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anzisha uzi wake mkuu.Haya tumewasikia na sisi huku peramiho tunaomba serikali iwe wilaya inayojitegemea maana tuna kila kitu Zaid ya wilaya nyingne hapa Tanzania
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa akili kama hizi. Acha tu tuitwe bara la giza.Sasa kwanini uwe na jiji la moshi na arusha umbali wa saa 1?Nyie ndo wabinafsi
Mhoji kitu gani? Kwanza hakuna aliyezuia watu kuhoji. Na hamkuhoji kwa sababu hamkua na hoja.wakati munajipelekea barabara za rami na umeme kila kijiji huko kwenu kuna mtu alihoji?
KATORO, Geita. Kijiji pekee nchini kwasasa chenye hadhi ya kuitwa MJI lakini bado kinatambulika kama Kijiji sawa sawa na kijiji cha KASATO kule Biharamulo, ama Kiuyu Mbuyuni kule Micheweni, Pemba Zanzibar.
UKipata fursa ya kufika KATORO. Hapa kuna
BENKI karibu zote uzijuazo
MAJI ya kutosha
UMEME wa uhakika
MIUNDOMBINU ya Barabara bora hadi mitaani kuzidi hata meneo mengi yenye hadhi ya mji.
KATORO Ndilo lango la wafanyabiashara wa Nguo, urembo n.k (MACHINGA), pikipiki na bidhaa mbapimbali kutoka mikoa ya Kagera, Mwanza,Shinyanga, Simiyu, Dodoma, Tabora, Kigoma, Singida, hadi nchini UGANDA.
Cha kuvutia zaidi ni kwamba KATORO ni miongoni mwa maeneo salama, na yenye maisha rafiki kabisa kwa kila mtanzania kumudu kuishi kulingana na uwezo wa kipato chake. Hapa bidhaa ni bei ya kawaida sana ukilinganisha na maeneo mengine (kama wewe ni mtembeaji)
Licha ya ukubwa wa eneo hili kibiashara na kimaendeleo lakini bado #KATORO kiserikali inatambulika kwa hadhi ya KIJIJI ikiongozwa chini ya serikali ya KIJIJI na KATA.
Mpango wa kuzaliwa kwa mkoa mpya wa CHATO huenda ukaja kuzaa mabadiliko ya hadhi ya eneo hili la Katoro na kupata fursa ya kupanda hadhi kwani hapa ni moja ya maeneo ambayo bado mamlaka hazijayatendea haki kabisa na yana kila sababu ya kuitwa mji kutokana na kasi ya maendeleo iliyopo.
Kama hili la kuundwa kwa mkoa mpya wa #Chato litafanikiwa, sehemu ya kwanza na hazina kimkakati ni eneo hili kwani hapa ndipo pesa zinatengenezwa. Linahitaji kuangaliwa na kupewa hadhi yake.
Wasalaam
#GMdadisi
Mimi nashangaa Sana[emoji23][emoji23]hawa jamaa wakikusimulia moshi ilivyo unaweza sema wanazungumzia NY ndani ya tz.
Wanataka kijiji cha katoro kiwe mjiKwa akili kama hizi. Acha tu tuitwe bara la giza.