Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,712
haya mwaya! sad sad
Badala ya kutumia yai unaweza kukoroga ngano kidogo na maji na chumvi kidogoo...mchanganyiko uwe mzito kiasi then unachovya madonge ya viazi kwenye huu uji kisha unayachoma...!
haya mwaya! sad sad