Katizo la umeme mkoa wa Kilimanjaro

Kwa wa kazi Wa Jiji la Arusha pia
 
Huo mkoa na kukatika umeme

Kiiila kukicha matengenezo yasiyokwisha.
 
Haya matengenezo kwa muda wa siku ngapi?
 
TANESCO mko wapi mtoe ufafanuzi, leo nilikuwa Arusha toka saa 3 asubuhi mpaka saa 9 ndio umerejea. Nasikia na kesho pia mtakata.
 
Kwanini wasikate saa sita usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi?
 
Umeme umekata tangu sa5 usiku mpaka sasahivi..hakuna umeme.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…