Habari za asubuhi wakuu, kwa wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro tujiandae leo kutakua na katizo la umeme tokea saa 3 asubuhi hadi saa 9 alasiri.
Lengo ni kufanya marekebisho kwenye line yenye msongo wa KV 400 kutokea Singida hadi Arusha.
Tahadhari usikanyage wala kushika waya uliodondoka chini, toa taarifa kwenye ofisi iliyopo karibu nawe.