Katikati ya uhai na kifo ndipo yalipo mafanikio yako

Katikati ya uhai na kifo ndipo yalipo mafanikio yako

Tormenter

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
425
Reaction score
804
Katikati ya uhai na kifo, hapo ndipo kuna maisha yako..

Kabla hujafa, wewe ndio adui mkuu wa furaha yako..

Ukiwa hai wewe ndio star, wa kuchagua uwe na tabasamu lipi.

Madeni yako ni wakati unapumua tu, ukiondoka watakulipia ndugu..

Amani unayoitafuta kwenye vichaka vya usaliti, na wanafki wasioisha.

Ipo kwenye kuwaelewa watu, na kutokata tamaa na vituko vyao..

Shida unazojaribu kuzitoroka, zipo kwa ajili ya kukufanya uelewe, kuhusu pumzi na thamani yake..

Wafu hawapewi mikosi, wala changamoto za kukimbia kodi..

Kama upo hai, katikati ya wewe na kifo chako, hapo ndio kuna maisha..

Usiogope..

Mmonga kundungu, kumeyo mwanja
 
📌📌📌📌📌

Mhubiri 1

Screenshot_20231201_104145_Swahili Bible Offline.jpg
 
Back
Top Bottom