Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,160
Wao wana masononeko ya kukosa waume??au wewe ndio umeona kua wanastahili kua na waume??
Kweli kabisa mkuu,Mwanamke anajiona yeye ndiyo yeye,kwa hiyo alishazoea kukaa mwenyewe na kuwa huru,familia yao ipo njemamkuu kuna familia zengine zina tabia zao ndo maana unaweza sikia wale kwa wana mdomoo,wa ringa,wana jifanya matawi,sasa usiwalaumu sanaaa huenda mashangazi walikosea kujua tabia asilia ya mwanamke ni unyenyekevu kwa mumewe,umekiri washaolewa sasa tatzo lipo hapo
upo sahihi kwa kweli. maisha yanahitaji uvumilivu sana, kuridhika na kuchapa kaziUsipokuwa mwangalifu hapa duniani unaweza kujikuta unasema Mungu nijalie maisha yako yote.
Mkuu hilo linawezekana sababu,Wanaume wanawaona nao ni wale wale na kuona ni ukoo usiofaa kuoapo,sababu sifa mbaya husambaa na kwenda mbali zaidi na huweza kuwahusisha na wasiokuwemo,mfano kama Familia ina sifa ya umalay,wizi/ujambaz,uchawi,uzurumaji na kupenda kesiHapa kwenye kujisikia Nina shangazi kama watatu hivi Hawa kweli haka katabia walikuwa nako lakini nashangaa Athari zake inamaana zimeenda hata kwa wengine wasiojisikia?
Kwa hiyo uvumilivu ulikosekana hapoKwenye hii mada kuna mwanga Fulani napata,nahisi huenda shangazi zangu Huwa wanataka mtu perfect asiye Na mapungufu hata kidogo.
Shangazi yangu mmoja ye aliolewa Na jamaa mmoja,baada ya zoezi la utoaji mahali kukamilika ikabidi mwanaume akabidhiwe mke ambaye ni shangazi .Kufika kwa Mme shangazi akakuta jamaa ana mke na watoto,shangazi akaambiwa akakae kwa Mama mkwe.Jamaa hakuna Na kitanda Wala godoro.Bahati Nzuri shangazi akawa Na tu vitu vitu kidogo plus ka nyumba alikokuwa kajenga.Kuona Mme yupo vile hakumaliza hata wiki akawa karudi home na mahali yote ikarejeshwa

Kweli kabisaMnyama kibali tu jamaaa kaongea fact mfano sisi kwenye dini yetu huwa tunabatizwa ni pamoja na kuondolewa dhambi ya asili walioitenda mababu mpka MUNGU akawalaani pia kumbuka hata taifa kongwe la israel walipewa ahadi gani ju ya mataifa yatakayo iangalia kwa jicho la uonevu pia kumbka yale mapigo 7 aloyashusha MUNGU kwa misri ikiwa ni pamoja na watoto wa kiume kufariki maji kugeuka damu sasa unataka kusema wale watoto walimkosea nn Mungu zaidi ya wazazi wao kuwasababishia hiyo kadhia na kuhusu ukoo kurithi asee mi namifano mingi tu kuna ukoo mmoja hawa jamaa wapo vzri katika kusoma wajukuu ninao wafahamu mmoja yupo us ni dr na mwingine ni yupo canada ni it huku nyumbn kwao kuna kitoto cha mwanafamilia mmoja ambae huyo jamaa alisoma ampka akili zikayumba sasa ni zee wa gambe tu kitoto chake kilipofikisha miaka miwili kinajua kusoma hadi english bila kwenda hata school sasa hapo unategemea nn kunakoo hata akiuza maandazi unashangaa atakavyokuwa haraka n nature yao
AminaaKuna maombi ya kuvunja laana au mikosi, omba uvunje hiyo laana au mkosi katika ukoo wenu.
Kama mkristo wafuate wachungaji watakuelekeza jinsi ya kuomba na vifungu vyake katika biblia
Sidhani kama ni nuksi/laana. Suala la kuoa au kuolewa ni mipango ya Mungu mie nachukulia kama zawadi kutoka kwa Mungu,ndio maana wengine hadi wanazeeka hawajaolewa au kuoa.
Zote laana hizoNinyi ndio munatafuta majibu kwa maswali yasiyokuwepo duniani! Kwa hiyo wale wenye matusi nao ni laana? Wale wasio na unyenyekevu nao ni laana? Wale wasiojishusha kwa waume zao nao ni laana?
Hao wachungaji wenu wanawapata sana!