Uislamu hauko kama munavyouzania uislamu umempa hali sana mwanamke kuliko kitu chochote ila hamujui tuuu.
Hata hio mifumo ya haki za Binaadamu basi wanatumia uislamu ukifuafuatilia wanawake walivyokua enzi za ujahilia ama hapo zamani utaona kua uislamu umekuja kumkombo mwanamke na kumpa kila mmoja haki yake.
Rudia hafithi ya watoto wa Adamu waliharamishiwa kuowana mtu na mzaliwa wake kwa sabu ya kumpa heshima mwanamke
Kwa hio sio kweli kua UISLAMU unamkandamiza ama ni mfumo dume kwa wanawake