Tumemsikia Mh Mbowe akisema kuwa hawakubariani na matokeo ya kura zilizopigwa Jana!!eti wataenda mahakamani kupinga matokeo ya kura hizo!!sasa ebu tuwekeni nuruni je ni kwa nini ni lazima anayetakaka kuwa mbunge Wa EAC lazima aombe kura kwa wabunge Wa bunge LA nchi yake?ni kanuni gani zinatumika kumchagua mgombea Wa ubunge Wa EAC? Je mgombea anachaguliwa kwa wingi Wa kura za ndiyo au hapana?
Naomba majibu wana JF!!
Naomba majibu wana JF!!