Katika sifa hizi lazima na wewe ulikuwa nazo: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika sifa hizi lazima na wewe ulikuwa nazo:

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mchakavumlasana, Mar 22, 2012.

 1. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  [h=6]Ninakuhakikishia katika sifa hizi
  kumi lazima wewe ulikuwa nazo
  kadhaa.
  ...
  1. Ulishacheza kibaba babaa/kimama mamaa

  2. Ulikuwa mwizi wa sukari

  3. wakati wa sikukuu usiponunuliwa nguo mpya unalia

  4. Ulishadanganya unaumwa ili tu, usiende shule

  5. ulishapangusa kamasi kwa shatila shule au mkononi (pakuvaliasaa)

  6. Ulishawahi kulia kisa umelazimishwa kuoga

  7. Ulishanawa mikono, miguu, uso na kichwa kisa unaogopa baridi na kujidai umeoga

  8. Ulishawahi kudokoa mboga jikoni

  9. Ulicheza kombolela pamoja na kifimbo cheza

  10.Ulikuwa kikojozzzzzzzzz
  [/h]
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Hayo yote nimeshwahi kuyafanya kasoro namba 5, 6, 7 a namba kumi kwa sababu mimi nilikuwa msafi sana na hakuna kitu ninachopenda katika maisha yangu kama kuoga, kufua n.k yaani kazi za kushika maji nazizimia mbaya. Ikipita siku sijashika maji either kwa kuoga au kufua nitajisikia vibaya sana na kama ikipita siku bila kuoga nitajiona kama vile nanuka dunia nzima na pengine naweza kushindwa hata kutoka nje. na hii tabia ninayo mpaka hivi sasa. Sikuwahi kujikojikojolea hata nilipokuwa mdogo.
   
 3. S

  Skype JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kiukweli namba 4 na 6 niliyafanya, aisee mimi na shule tulikua mbalimbali kabisa. Suala la kuoga hasa usiku wakati wa kwenda kulala aaghr! Ilikua kero sana ila siku hizi mimi ndo nimekua mtu wa kuwahimiza wadogo zangu na watoto pia kwenda shule. Thanx my mama and my baba kwa malezi mazuri, sasa naenjoy.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  zoote kasoro 8 na 10...
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  haaaaaaaaa!!!!!!!!!
  haiwezekani banaaa. mie zote hizo sijawahi zifanya....
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ***** mtu!
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Utakua umekulia ktk mazingira yaliyo strict tena geti kali lililoandikwa, "TAHADHALI, KUNA MBWA MKALI", shule unapelekwa na kurudishwa kwa gari, hasahasa yatakua mazingira ya pale magogoni au masaki au oysterbay.
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Namba 7 hapo umenigusa, wakati wa baridi nilikuwa mgumu kukoga, hii haaaaaaa.....
   
 9. S

  Skype JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hello mr. Mtalingolo! It's only I, Skype who is saying goodmorning to you! I'm fine, you?
   
 10. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Neither of the above
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  No tatu nilikomaa nayo mpaka nikiwa fom tuu,
  Na mama alikua anajua kbs bila nguo mpya siku ya sikuuu hata lipikwe pilau sitakula ni kilio mwanzo mwisho,
  Mara nyingi walikua wanatununulia alafu yangu wanaificha na kunambia hawakupata zaizi yangu eti kwa vile nilikua mnene hapo ndio nilikua naachia bonge la kilio mpaka wanaitoa na kunikabidhi!!
   
 12. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hiyo namba 7 hiyo. Enzi hizo kukiwa na baridi unaenda kuoga unanawa mikono, miguu na kichwa, wazazi walipositukia mchezo, ikawa kila nikimaliza kuoga wanaangalia tumbo kama lina hali ya usafi. Nikabadili na kuongeza tendo la kulowanisha tumbo. Tehe tehe tehe, enzi hizo we ziache ziwe hivyo tu.
   
 13. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  3,4,5,6, na 7 sijafanya, ila la kikojozi mpk miaka 10 mi nlikua kikojozi, tena wakati mwengine hata nikishighulishwa na michezo basi siwahi fika chooni mara najikojolea kwenye puru.
  Kudokoa mpk leo, ha ha heh, bt nadokoa nkipika mwenyewe jikoni
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Namba 2,3,4 na 6 sipo kabisaaaaaaaa
   
 15. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ahahahah u have made my day.... Eehheehhe BIG UP
   
 16. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kwa maelezo haya inaelekea ulikuwa unapenda sana kucheza kwenye mvua wewe.....ukirudi nyumbani umelowa chapaaaaaaa

   
 17. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hahahaha kuna siku nilimwambia mdingi siendi shule, maana najua kusoma na kuhesabu...hapo nilikuwa darasa la pili loh!!!

   
 18. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  hukucheza kombolela? i see umemisi raha kubutua kuna utamu wake bwana.....
   
 19. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  mmmmh kuna dalili kuwa zote umefanya wewe,hasa namba 5...

   
 20. mchakavumlasana

  mchakavumlasana JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  niliwahi ifanya, nafunguo bomba maji ya mwagige, nanawa halafu nakaa kidoooogo natoka, niliposhtukiwa nilipigwa kibao kimoja cha haja, komo, nikawa naoga mwenyewe......


   
Loading...