Katika SIASA 1+1 sio 2

fredqbcc

Member
Dec 8, 2010
8
0
Wengi huhitaji kuchaguliwa kuwa viongozi lakini hutaka ajira zaidi na madaraka yatakayo ambatana na malupulupu na huu ndio ukweli.Idadi ya mawaziri ni kubwa mno kiasi kwamba wengi wao hawana uwezo wa ku add value katika jamii ya kitanzania.
 
Back
Top Bottom