Katika series ambayo muhusika mkuu

Attachments

  • Screenshot_20190822-000631_cropped.png
    Screenshot_20190822-000631_cropped.png
    18.4 KB · Views: 20
Ndio mkuu lost naijua nliangalia episode zoooote,
Tho baadae ikawa ya kipuuzi kwa kuweka story za kijinga sjui ndo kujazia jazia episode,tho bado saana kuifikia hio twin peak.
Itabidi niitafute hio twin peaks niione aiseeh
 
Ilkua nivyakipuuzi mpka ilipofika episode ya mwisho ndo nkaelewa hakukua naupuuzi mule
Kuna episode kbao za kipuuzi,on your time search pointless episodes in lost series, ilkua series tamu pia tna sana bahati yao ilkua ni zamani,ingekua ndo sshv kwa kujazia ma episode mengi bila sabbu tungekuta ishakua cancelled mapema
 
Ngoja nitafute moja baada ya nyingine nikimaliza nitarudi kutoa maoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom