Katika pita pita zangu...

Yaonesha mkuu ulishaishi huko uhayani maana umejuaje walikuwa wanaongea kihaya....,

Anyways nadhani mahali/mtaa uliokuwa umeelekezwa ni hapo hapo sasa sijui ulipitiliza kwenda wapi mkuu au jamaa alipokuwa anakuelekeza hukulipata somo?! Lete tu ushuhuda wa tukio....................
 
jamani mtuache na kazi yetu, ndio tumeona namna ya kuingiza kipato. Hatutaki kuiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…