Katika picha: Wabunge wakisaini kumuondoa Pinda

Rafiki wa Kweli utamuona wakati wa shida,vyivyo hivyo wabunge wa kweli wanaojali maisha ya wtz tutawaona kipindi hiki cha mjadala ni yupi mpiga kelele ya kuuza sura ni yupi anawatetea wananchi kwa dhati.wakati wa kuwapigia kura wawakilishi wetu katika Bunge la EA wabunge walikuwa zaidi ya 320 wengi wao wakiwa wabunge wa chama cha CCM wapiga kelele akina Anne Kilango Mallechela lakini angalia kujiandikisha kuwawajibisha wenzao wasio watendea vizuri wananchi masikini wa Tz woote wameingia mitini Mh,Anne Kilango na wenzake tuliwapa sifa wasizostahili wakati wa Richmond walivyokuwa wanamchachafya Mh,E.Lowassa na wenzake yaonyesha kuna maslahi walikosa kama siyo hivyo leo mbona kimya au Ufisadi umefikia kikomooooooooooooooo??? yaani umeishaaaa???? ukimuondoa Dr,Harrison Mwakyembe ambaye alichungulia Kaburi kama sio Dua za Wtz na uwezo wake Mwenyezi Mungu .Mujwahuzia.
 
wapi..
Ole Sendeka?
 
Back
Top Bottom