Duh, Mzee wa Kiraracha kweli muona mbali. Huyu msukuma huyu Cheyo naona anataka kurudi kwenye biashara zake tu, otherwise angesaini. Manake this is for real, na analifahamu hilo, kwani Sengerema na Maswa si mbali kiviile, and the wind of change is blowing too angrily there!
Nainua na moyo wangu piaNamimi mwananchi nimesaini kimoyomoyo.
Nimeipenda hii kwa hakika. Najivunia CDM kuwa na wabunge vijana
Hivi Mzee Cheyo hategemei kugombea tena Ubunge?
jamaa wamenuniana!!!