Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
swali la mara ya mwisho kunjunjwa iikuwa lini huwa naona wamejianda kisaikolojia kudanganywa.. sababu mara nyingi jibu ni la kudanganywa
leo asubuhiMara ya mwisho wewe lini? Sema ukweli nikupe hela,sikudanganyi nakupa hela we sema ukweli tu
leo asubuhi
haya nakutumiaNi Pm namba yako nikuTigo Tigopesa.
Maana umesema ukweli tupu.
Umekuja pale ninaposema mimi kila siku ili mapenzi yawepo uongo lazima utawale kwa asilimia 99,na ninaungana na wewe kwa kusema kuwa ukisema ukweli kwenye mapenzi tayari unakuwa umetia dosari kubwa ambayo haifutika,sasa kwanini tuambiane ukweli wa mambo yaliyopita kama vifua hatuna!,cha muhimu ni kuchukua mwenzi wako songeni mbele na maisha msigeuke nyuma.Upo mapenzini na labda umemkuta mwenzi wako tayari akiwa mkubwa "si bikra". Katika hali hii usipende kupekua maisha ya kimapenzi aliyokuwa nayo awali. Anza pale mlipokutana ninyi.
Kupekua pekua hakufai, maana unaweza kupewa ukweli ambao utakuumiza maisha yako yote. Mfano, wewe mwanaume unamuuliza mpenzi wako (awe ni mke au mchepuko) swali hili:-
Je, mimi na X wako tuna tofauti gani kitandani? Baada ya swali hili, assume huyo mpenzi wako akawa ni mkweli hasa na kwake suala la diplomasia ya mapenzi halipo. Kutokana na swali hilo, akakujibu: tofauti kubwa kati yako na X ni kuwa, X wangu alikuwa na pumzi kubwa kitandani kuliko wewe.
Niambie jeraha hilo, utalitibu kwa dawa gani?
Tena vile vinavyolimwa maeneo ya nduguti ukikijata kinatoa maji kama maziwa mpaka umalize kumenya machozi yamefika kwenye ugokoKutaka kuujua ukweli ni sawa na kumenya kitunguu
Hahaha, utajuta kukifahamuTena vile vinavyolimwa maeneo ya nduguti ukikijata kinatoa maji kama maziwa mpaka umalize kumenya machozi yamefika kwenye ugoko