Katika mapenzi hiki ndicho kinachouma!


Mkuu, pole naelewa sana hii situation sikia tu kwa mwenzako omba sana kwako yasikukute aisee...
Yaan ukikutana na Huyo EX wako harafu wewe umeparara na yeye ana meremeta Maumivu yake ni sawa na Mwanamke anaezaa watoto 10 at the same time [emoji27]
 
Ukitaka kumuacha mwenza
Wako jifkirie kwanza mara 22
Kabla yakufanya maamuz ya
Kusema tuachane hii
Kauli hua inawaliza wengi
Aiseee

Moja wao n mm aiseee
Estah nakusalim ukiwa
Udom mji mpya
 
Pole.
 
Inauma kama kukuta comment ya Joseverest ina likes nyingi kuliko wewe muanzisha Uzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…