Katika Kuunga Mkono Juhudi...

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
...nyie Watanzania wenzetu mnaoamini kuwa kwa "kuunga mkono juhudi za mtukufu na mpendwa Rais Dr John Joseph Pombe Magufuli" nyinyi ndio wazalendo wa kweli ila sisi tunaokosoa tunatumiwa na mabeberu na si wazalendo.

Naomba WOTE kabisa tusali ili:
1. Wanaoamini kuwa Magufuli anachokifanya sasa ni sahihi na ni halali yeye kukifanya matokeo ya hiki anachokifanya yawapate wote wanaomuunga mkono na kukubali kuwa ni sahihi WAO NA VIZAZI VYAO VINNE VIJAVYO
2. Wanaokosoa nao wapate matokeo ya kupinga na kukosoa kwao.

Naomba kila mtu ajae hapa aseme ama;
1. Nipate mimi na VIZAZI vyangu matokeo ya kile akifanyacho Rais Magufuli;

Au

2. Mimi nakataa matokeo ya kile akifanyacho Rais Magufuli leo kwangu na kwa VIZAZI vyangu.

Naomba mods msiufute uzi huu ili tujadiliane kwa uwazi.
 
Laana uchwara. Hii nchi ni haki ya kila mzaliwa. Afanyacho Magufuli siyo kwa utashi na rasilimali zake. Sisi wananchi hatuwezi kumtuma mtu asimamie amslahi yetu kwa ujira wa kumlisha, kumlinda na kumpa kila anachohitaji, eti kisha tujetenge na hizo rasilimali zetu.

Tutaendelea kumkosoa pale anapokosea na kumtaka atuombe msamaha kwa yale maovu anayotenda. Ingemfaa ajisalimishe mapema kwa matakwa ya wananchi walio wengi wanaopinga uhuni anaofanya. Hasa matumizi mabovu ya rasilimali zetu.
 
Back
Top Bottom