Katika kutawala jukwaa, Magufuli anaongoza dhidi ya Lowassa

Katika kutawala jukwaa, Magufuli anaongoza dhidi ya Lowassa

Hatuchagui mgombea wa bongo star search. Huyo ndo anatakiwa atawale jukwaa. Edo Edo Edo!
 
Si hilo tu na hata watz ndo watu wenye maneno mengi bila ya vitendo pamoja na uongo mwingi
 
Katika mikutano ya kampeni iliyoanza tare he 22/08/2015 ni wazi mgombea wa ccm atamudu kutawala jukwaa na kujinadi dhidi ya mgombea wa ukawa. Lowassa
Hata diamond analitawala jukwaa lakn hana sifa ya kuwa rais. Castle larger hana sifa ya kuwa rais
 
Katika mikutano ya kampeni iliyoanza tare he 22/08/2015 ni wazi mgombea wa ccm atamudu kutawala jukwaa na kujinadi dhidi ya mgombea wa ukawa. Lowassa

Kutawala jukwaa ni pamoja na kuhojiwa na vituo vikubwa kama bbc cnn aljeezira n.k aliingia mitini huko kote!!labda kutawala jukwaa la wapiga mapush ups na kuruka mapanga nshaa!hilo ni bogus la mwisho ni kama kituko flani.,nani ampe urais labda waibe kura!!!
 
Back
Top Bottom