komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 2,742
- 3,520
Watanionea bure hao kobazi, mimi nilisoma tu kitabu tena ilikuwa 1980. Uokoaji ulifanyika 1976.Unatafuta vita na Kobazi
Umekisoma hicho kitabu?.Baada ya Rais Idd Amin wa Uganda kuiteka ndege iliyokuwa imewabeba waisraeli na kuilazimisha kutua katika uwanja wa Entebe, kuna uokoaji uliandaliwa na askari wa kikosi kazi huko Israel.
Haya yamo kwenye kile kitabu kiitwacho " ninety minutes at Entebe.
Moja ya simulizi ya kuvutia ni sehemu inayosema wakati ndege ya kijeshi ya uokoaji inatua uwanja wa Entebe, waziri mkuu wa Israel wa wakati huo alimpigia simu Idd Amin akijinyenyekeza kumuomba awaachie mateka wale kumbe makomandoo saa hiyo wako tayari Entebe kwa kazi maalum.
Sehemu nyingine ya kitabu, inasema ndege ya uokoaji ilitambaa kimo cha maji ya ziwa Victoria ili isionekane na rada ( za wakati huo).
Tukio lingine kitabu kinasema, liliandaliwa gari la Rais wa Uganda, kwa rangi Ile ile na kila kitu mpaka plate no, na wakaingia nayo na askari wakadhani ni Rais ameingia kumbe makomandoo wa Israel.
Katika mpambano huo walimpoteza askari mmoja tu aliyechelewa nje ya ndege na maiti yake iliingizwa ndani ya ndege wakaondoka naye, ila wakamuuwa aliyempiga risasi.
Yako mengi. Waliokisoma wengine watajazia...
Ndiyo maana nimeandika. Inawezekana sijaweka neno kwa neno kwa usahihi but it was a long time in 1980Umekisoma hicho kitabu?.
Na kweli....kobazi ni jangaUnatafuta vita na Kobazi
Aliyempigia simu Idd Amini hakuwa Waziri Mkuu wa Israel wakati huo. Rudi usome vizuri hapo.Baada ya Rais Idd Amin wa Uganda kuiteka ndege iliyokuwa imewabeba waisraeli na kuilazimisha kutua katika uwanja wa Entebe, kuna uokoaji uliandaliwa na askari wa kikosi kazi huko Israel.
Haya yamo kwenye kile kitabu kiitwacho " ninety minutes at Entebe.
Moja ya simulizi ya kuvutia ni sehemu inayosema wakati ndege ya kijeshi ya uokoaji inatua uwanja wa Entebe, waziri mkuu wa Israel wa wakati huo alimpigia simu Idd Amin akijinyenyekeza kumuomba awaachie mateka wale kumbe makomandoo saa hiyo wako tayari Entebe kwa kazi maalum.
Sehemu nyingine ya kitabu, inasema ndege ya uokoaji ilitambaa kimo cha maji ya ziwa Victoria ili isionekane na rada ( za wakati huo).
Tukio lingine kitabu kinasema, liliandaliwa gari la Rais wa Uganda, kwa rangi Ile ile na kila kitu mpaka plate no, na wakaingia nayo na askari wakadhani ni Rais ameingia kumbe makomandoo wa Israel.
Katika mpambano huo walimpoteza askari mmoja tu aliyechelewa nje ya ndege na maiti yake iliingizwa ndani ya ndege wakaondoka naye, ila wakamuuwa aliyempiga risasi.
Yako mengi. Waliokisoma wengine watajazia...
Sahihisha tu mkuu weka jina sahihi, ni muda sana tangu nimekisoma. Miaka 44 iliyopita.Aliyempigia simu Idd Amini hakuwa Waziri Mkuu wa Israel wakati huo. Rudi usome vizuri hapo.
We Mhenga kama mimi Mtoto wa Shule!Sahihisha tu mkuu weka jina sahihi, ni muda sana tangu nimekisoma. Miaka 44 iliyopita.
Mkuu mimi nilikuwa kijana wakati huoNdiyo maana nimeandika. Inawezekana sijaweka neno kwa neno kwa usahihi but it was a long time in 1980
Kobazi?? 🤣 🤣Unatafuta vita na Kobazi
Yonatan Netanyahu aliuwawa EntebbeFikiria wakati ule bwana Netanyahu alikuwa serikalini tena waziri
Kulikuwa tukio lingine la mwaka 1977 la Assault at MogadishuSahihisha tu mkuu weka jina sahihi, ni muda sana tangu nimekisoma. Miaka 44 iliyopita.
Mkuu mimi nilikuwa kijana wakati huo
Walioiteka Air France walikuwa ni Wapalestina
Tulikuwa mashabiki wa kusoma vitabu. Sio leo mashabiki wa Simba na Yanga pekee.Kulikuwa tukio lingine la mwaka 1977 la Assault at Mogadishu
Lazima utakuwa unalikumbuka pia tukio hilo maana tulikuwa vijana au sio mzee