Katika kila watu 10, Kuna Wana CCM 7

Katika 20% ya wapiga kura nchini Tanzania hukumalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli muda ukifika wa nyumbu kutoka Masai mara kuingia huku kwetu lazima watakuwa wengi kwa 70% na huko watapungua kwa 30% hivyo utafiti wako uko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mburula hajui hata maana ya research, shibe ya viporo tu inamhangaisha kama anataka kutaga vile.
Hii research utakuwa umefanyia sebleni kwenu, hao ni mashabiki na siyo wapiga kura, fanya kama unajikuna uchaguzi uwe huru na wa haki, ondoa polisi wenu, ondoeni tume yenu wekeni tume huru ndo utaelewa kwanini bangi imeruhusiwa njombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

katika hao 7 ccm wawili hawajui wanafuata mkumbo tu. watatu wapo ccm kwa maslahi yao ya biashara au ulaji katika katika uongozi .jumla hao ni 5 baki wawili hao wawili ni ccm tshirt na kofia au kanga na dera hawa wawili wakipewa vitu hivyo mpaka vichakae wao ni ccm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nacheka kwa niaba ya wenye akili timamu wote........... Kati ya watu 10 nadhani haujui kuwa watu 7 wameumizwa na serikali ya Awamu hii kama sio wao basi ni watu wao wa karibu(mfano...mjomba,shangazi,binamu,motto au mzazi).....kama ulikuwa hujui ndo hivyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani kamongo wanakuwaga na akili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

In other words; kwa kila Watanzania (na sio "watu") 10 ni WATATU tu wenye akili timamu.
 
TWENDE KWA fact

Watanzania kwa sasa tupo 55M
Unaposema kila kwenye watu 10, kuna wana CCM 7, maana yake CCM inawanachama
55,000,000 X 0.7 = 38,500,000......MILIONI 38 NA LAKI 5. UNATAKA KUTUAMBIA KUWA CCM INA WANACHAMA WENGI KIASI HIKI?

HIVI MNAANDIKAGA KUJIFURAHISHA?
 
Magonjwa mtambuka
 
Hiyo research yako ina kasoro, Ukweli ni kwamba Magufuli atashinda kwa zaidi ya asilimia 90
 
Nachelea kuhusu uhuru wako kwani umevunja sheria ya Takwimu kwa kutoa huo utafiti wako kabla hazijapitia katika ofisi zake.
 
Ndo maana nchi hi bado masikini
Bado tunashabikia kuibiwa
Na bado tutakufa masikini.....
Kwa report hi yaCAG NASIKITIKA NA NAONA AIBU KUiTWA MTANZANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanya utafiti huku unapiga punyeto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…