The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,697
Bwana kafufukaHeleluya
Leo na wewe umeokoka?Heleluya
Mkuu kuna watu wakija hapa utapata kazi sana ya KUTHIBITISHA, uwe umejiandaa katika hiloKatika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa.
Walipewa majina ya kigeni.
Walifundishwa lugha za kigeni.
Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni
Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao.
Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa.
Walivisha kongwa vifuani na vichwani.
Walifundishwa kujichukia na kuchukiana.
Walianza kuana kwa ajili ya dini.
Waliporwa ardhi, mali, na utu wao.
Walitapeliwa.
Wamepotezwa na wamepotea milele.
Hilo ndilo neno la Mungu.
Aaaamina.
Mazingatio ni kwenye kapu la sadaka tu bwasheeBwana kafufuka
Anaesemwa hapo ni mwafrica during slavery dogo hujui kung'amua mambo madogo namna hioMkuu kuna watu wakija hapa utapata kazi sana ya KUTHIBITISHA, uwe umejiandaa katika hilo
Mbona rahisi mkuuKatika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa.
Walipewa majina ya kigeni.
Walifundishwa lugha za kigeni.
Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni
Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao.
Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa.
Walivisha kongwa vifuani na vichwani.
Walifundishwa kujichukia na kuchukiana.
Walianza kuana kwa ajili ya dini.
Waliporwa ardhi, mali, na utu wao.
Walitapeliwa.
Wamepotezwa na wamepotea milele.
Hilo ndilo neno la Mungu.
Aaaamina.
Hapana. Nalenga kukuokoa weweLeo na wewe umeokoka?
AminaHeleluya
Yuko wapi tumuone?Bwana kafufuka
Sijasoma uzi maana aliandika uzi mrefu, nimesoma title tuAnaesemwa hapo ni mwafrica during slavery dogo hujui kung'amua mambo madogo namna hio
Katika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa.
Walipewa majina ya kigeni.
Walifundishwa lugha za kigeni.
Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni
Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao.
Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa.
Walivisha kongwa vifuani na vichwani.
Walifundishwa kujichukia na kuchukiana.
Walianza kuana kwa ajili ya dini.
Waliporwa ardhi, mali, na utu wao.
Walitapeliwa.
Wamepotezwa na wamepotea milele.
Hilo ndilo neno la Mungu.
Aaaamina.
Naheshimu maoni yako japo si hisia zako. Kila kitu kiko wazi. Tena, nimerahisisha na kufupisha mambo ili kila asomaye aelewe kirahisi. Kama hujaelewa, basi, nashauri. Soma tena ili uchangia kwa siha kiakili.Unachokiandika kimejaa hisia kali, lakini hakina usahihi wa kihistoria wala uwiano wa kiakili.
Kwanza, huwezi kuchukua historia changamano ya mabadiliko ya jamii nzima na kuipunguza kuwa kauli za “wajinga walibatizwa” au “walipotezwa milele.” Huo si uchambuzi, ni propaganda ya hasira.
Pili, Ukristo na Uislamu Afrika havikuingia kwa njia moja tu ya “kulazimishwa na kuharibu kila kitu.” Kuna sehemu za ukoloni zilikuwa za ukandamizaji, hilo halina ubishi. Lakini pia kuna historia ya watu waliokubali dini kwa hiari, waliitumia elimu, waliijenga, na hata waliigeuza kuwa chombo cha kupinga ukoloni wenyewe.
Tatu, madai ya “walifundishwa kuacha kufikiri” si ya kweli. Kama hilo lingekuwa sahihi, usingeona:
- wanazuoni wa Kiafrika ndani ya dini,
- harakati za ukombozi zilizoongozwa na watu waliokuwa ndani ya makanisa na misikiti,
- wala falsafa na mijadala ya kiakili iliyotoka ndani ya taasisi hizo hizo.
Nne, suala la majina, lugha na utamaduni halimaanishi “kupotea kwa utu.” Historia ya dunia nzima inaonyesha jamii hubadilika, huchanganyika na hujifunza. Hiyo si kifo cha utambulisho, ni evolution ya kijamii.
Mwisho, kutumia kauli kama “hilo ndilo neno la Mungu” kuhitimisha maoni ya kihisia hakufanyi kuwa ukweli. Imani ni jambo moja, lakini historia na uchambuzi wa jamii unahitaji ushahidi na uwiano.
Ukosoaji wa ukoloni na madhara yake ni wa msingi na muhimu. Lakini kugeuza kila mabadiliko ya kihistoria kuwa “kupotezwa kwa milele” ni kurahisisha sana ukweli na kupoteza uhalisia wa historia yenyewe
Karibu kwenye uzi huu
Uelewe zaidi
Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote
Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...share.google
Yuko wapi tumuone na tumuhoji amewezaje?Aliyefufuka Leo na mapema
Tuimbe nyimbo nzuri Ngoma na saburi na Ngoma tucheze tumsifu mwokozi.
Tukutane jumapili hii st Joseph cathedral posta ntakuelezea vzrYuko wapi tumuone na tumuhoji amewezaje?